Nimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha.
Eti wanajamvi, hii...
Huyu mMachame nilizaa nae miaka 17 ilio pita nilivo mgudua kwamba sitafika mbali nae kwa tabia zake tukaachana nae kwa maelewano kwasbb nilijua udhaifu wake ni pesa mali nikamuachia mali za aina...
Waache Waende
Kama mtu anataka kuondoka maishani mwako, mwache aende. Kama mtu amechagua mtu mwingine badala yako licha ya upendo wote uliompa, mwache awe na maisha yake. Mruhusu aishi...
Hello wanajf
Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko...
Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume .
Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani...
Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba.
Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana...
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia...
Alimtafutia kazi huyu binti wa dada yake. Baada ya miezi mitano tokea kuanza kazi, binti akapata mwamba, akaanza tabia ya kutoroka saa 10 jioni kumpelekea Mwamba Utelezi. Boss ndipo kushtuka...
Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi...
Wakuu nimeliweka moyoni na jaribu kulificha ila ngoja tushee labla mawazo chanya yatapatikana. Inshort natarajia kuoa japo ndoa yenyewe inapingwa kama katiba mpya na CCM na mpingaji ni mama yangu...
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome.Kama mnakumbuka mke wa Farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha Yusufu hivi hivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.
Just...
Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha...
Kuelekea 2025 .
Kauli mbiu ni "Protect your Energy" (Linda nguvu yako).
Katika maisha kuna mambo mengi Sana ambayo huleta destruction , disappointment and heart fainted.
Katika mahusiano...
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula...
Wanyarwanda wana kasumba moja bila kuzaa na mnyarwanda mwezie hususani watusi haoni kama kajitendea haki. Sasa wewe jidanganye kwamba uko kwenye deep love na mnyarwanda, it will end into tears...
Mara kadhaa humu JF huwa naona comment za wadau wakisifia wanawake wa kitusi
Nawaambia ukweli ndugu zanguni wale sio wife material, sijaishi Rwanda waka burundi ila hao wanawake wamejaa kuanzia...
Hiki ni kisa cha kijana mmoja mbishi kilitokea miaka ya 2008,
Kijana alitokewa na bahati ya kupata shangazi mpaka baadhi ya vijana wengine walifikiri kwanini zari halikuwaangukia wao ...
Wazee wa kupambania Kombe
Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI?
Umafia:
Part 1>
Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno...
wakuu kwema
natumain mko salama kabisa
Ninachangamoto kubwa hapa imetokea naombeni ushauri .
Nilikuw na mahusiano na binti mmoja ivi alitokea kunielewa ana miaka 18 basi tukajikuta tupo kwenye...