Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naam ni kama miaka miwili imepita nikiwa na mtoto wa chuo Mimi pia nikiwa chuo tafauti, mtoto nimezama nae penzini baada ya kama kukutana kwenye sita kwa sita kama mara nne siku Moja mtoto...
34 Reactions
193 Replies
5K Views
Umoja wa Wanawake nchini Rwanda unapanga kupeleka ' Muswada ' maalum Bungeni huko ili iwe Sheria rasmi ambao utawataka Wanaume wote wa Kinyarwanda Kuoa Wanawake ambao wako tu ' Bikira ' na kwamba...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa. Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka...
12 Reactions
61 Replies
2K Views
WanaJF Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia. Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya. Wakuu kama kichwa Cha...
47 Reactions
417 Replies
7K Views
Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa. Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa.
21 Reactions
175 Replies
3K Views
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini...
10 Reactions
9K Replies
582K Views
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu...
34 Reactions
331 Replies
23K Views
Najiuliza kwanini? Yaani anaweza kuwa mwaminifu mwanzoni, ukampa Kila kitu na bado wanapigwa na watu. KULIKONI?
7 Reactions
109 Replies
9K Views
Hello JF, Asubuhi hii nimejikuta nawaza hili kundi la wanaojiuza miili yao Much emphasize has been put on young people/girls NOT to get involved or engage in Prostitution, But, Little have...
10 Reactions
66 Replies
5K Views
Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo...
24 Reactions
46 Replies
6K Views
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
289 Reactions
53K Replies
19M Views
Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!! Mahusiano mengi yamevunjika kutokana na...
123 Reactions
297 Replies
32K Views
Hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita, kipindi nasoma nakumbuka kati ya form 1 au form 2. Nitafupisha ili nisiwachoshe, baba angu alituambia kuwa kuna mwanamke alimpa mimba miaka hiyo...
45 Reactions
252 Replies
5K Views
Natumai hamjambo wakuu, japo tupo katika maombelezo ya kitaifa but mambo mengine hayana budi kuendelea. Wakuu sio siri mimi ni mpenzi wa wanawake wenye chura, bt kuna mara chache hujichanganya...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Siku moja nilikua chuo kikuu fulani na wakapita wadada wawili na jamaa zangu wakadai ni mtu na mpenzi wake. Nilishangaa kuona wanawake nao wanapendana wao kwa wao kama nchi za Ulaya na Marekani...
9 Reactions
317 Replies
91K Views
Wajumbe heshima kwenu, let me declare my interest sio mtu wa kupenda totoz za mtandaon juzi kati kuna manzi moja nilikutana nayo mtandaon FB (old is good) ni wa moto sana yaani picha alizokuwa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali? Naombeni tu mnisaidie hili jibu Mtu anakwambia...
17 Reactions
204 Replies
12K Views
Tafiti zilizofanywa na wanasayansi na wadadisi wa biological and human relationships. Inaonesha kuwa kwa wanaume inakuchukua siku 88 kumpenda mwanamke Wakati kwa wanawake inachukua siku 134...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya mahusiano katika Chuo cha Climax nchini Marekani unaonesha uhusiano unaoanzia mtandaoni hudumu. Asilimia 23%ya uhusiano ambao huanzia mtandaoni...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…