Nimefanya nae mapenzi... Niko nae ofisi moja. Ameniambia live tumefanya ndotoni. Bado nawaza kwanini kaniambia.
And she was excited...
Mimi niliamua kuzuga...nikamwambia ni majini mahaba hayo...
Wakuu habari za mida hii?
Kunajambo ambalo limenikuta hapa Dodoma kwakweli siamini, mimi ni mgeni nimekuja hapa nina siku nne nimekuja kikazi maramoja jana Jumapili nilienda kanisa fulani kusali...
" Yasini! Ingawa wazazi wangu wamekataa mimi kuolewa na wewe lakini moyo wangu umekuridhia wewe, nitaishi na wewe kwa shida na raha " yalikua ni maneno ya Saida kwa mpenzi wake Yasini miaka 10...
Naam naam naam nimerydi tena wadau
Majuzi hapa mwana jf mwenzetu Jordy05 alileta kisa chake cha jinsi iula tunda kimasihara kulivyobadili mustakabali wa maisha yake mazima / forever of course...
Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu.
Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote...
Wakuu,
Kila mtaa kuna mwanamke au mdada ambaye anaaminika kuwa ni mzuri na ni vigumu kumpata kiurahisi
Unaweza kujitosa kumtongoza unaambulia matusi na kudharirishwa. Nimegundua hili kwani mtaani...
Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili.
Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka.
Sex = energy ngono ni...
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake...
Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi.
Mwenye umri miaka 40 kwenda juu
Jinsia mwanamke
Mkristo
Asiye na uwezo wa kuwa na watoto
Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya...
Habari za weekend?
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 sasa, nimeanza kujitegemea toka 2011 baada ya kumaliza chuo, si haba sasa nina ahueni ya maisha katika shughuli zangu za kila siku!!
Changamoto...
Leo nimepokea msg kutoka kwa dada mmoja(rafiki wa karibu) akaniambia nitune clouds fm saa sita na nusu nisikilize mkasa uliopo..
Hizi ndoa zina balaa kubwa sana,kwa wale waliosikiliza najua...
Mwanamke amefungwa na minyororo ya kiutamaduni juu ya kuelezea hisia zake za kimapenzi kwa mwanamme ambaye angetamani japo a-date naye siku moja katika maisha yake.
Tofauti na mwanamme,aliyepewa...
Jamani wana jukwaa kwa experience yangu mpka sasa wanawake ambao hawana shape kiivo ni watam pale chini kuliko wenye shape zao. That is according to me
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.
Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu...
Nawaomba mnapoingia kufundwa kwa kungwi, somo, mashangazi zenu na mlio na mama na bibi zenu muwe mnaingia na DIARY, NOTEBOOK, au hata KIDAFTARI mkariri yale mnayohusiwa na kufundishwa kuelekea...
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba...
Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila...
Naongea na mabinti wa miaka 35 au zaidi. Huu umri kama upo single ni mkubwa kwa mwanadada hivyo kuna mambo lazima ukubaliane nayo kuwa hayapo upande wako kwa sasa. Ukishupaza shingo shauri yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.