Madeni na changamoto za kifedha vinaweza kuathiri afya ya mwili kwa njia nyingi, ikiwemo afya ya Uzazi wa Mwanamke.
Wakati mtu anakabiliwa na Msongo wa Mawazo kutokana na hali ngumu ya kifedha...
Kama vile tujuavyo ya kwamba hakuna maisha bila mahusiano ya mapenzi na Upendo ni Sheria ya asili ambayo ipo ndani ya Mwanadamu.
Kuna aina mbalimbali za uhusiano wa mapenzi, na kila mmoja...
Wakuu,
Kua uyaone na si magari wala maghorofa.katika familia nyingi za kiafrika wanaume wengi wanalea watoto ambao sio wao,na kiukweli hawalijui hilo,wanawake wengi wanapewa ujauzito nje ya ndoa...
Waungwana watanielewa tu.
Kwakweli inawaumiza baadhi ya watoto kutomjua baba! Ila nashukuru watoto wengi hawaumii ktk hilo. Watoto wanapaswa kuwa na adabu ktk hili hata Kama inawaumiza! Na mbaya...
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini...
Maisha bila uzinzi yanawezekana, na nimetambua hilo baada ya kutimiza miaka miwili+ bila kuwa na uhusiano wala ukaribu wowote wa kimwili dhidi ya mwanamke/binti yeyote ndani ya muda huo...
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.
mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi...
WAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza...
Habari Wana jamii forum,
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la rejareja, naomba kuukiza condom gani ni nzuri na Zina utamu Sana niweke dukani kwangu na zitapendwa na wateja na Zina utamu Sana
JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa...
Huyu demu ni mzuri na anaonekana very decent kwa nje. Msukuma wa Shinyanga. Mimi kiukweli niitegemea ngekaa kwake kwa utulivu but baadaye nikaja ona ana ujanja wa kishamba.
Mimi nlikutana naye JF...
Habari kaka, mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka 7 sasa. Nina miaka 2 tangu kuondoka kwa mume wangu, na niliondoka huku nikimuachia mtoto na kila kitu. Sababu ya kuondoka kwangu ni kwamba...
Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!
Baada ya kumuoa mke wangu, alinishawishi niachane na kazi ili nisaidie kusimamia biashara zake. Nilikuwa nimeajiriwa...
Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi...
Key point ni MAJUKUMU mengine ni minor issues kwa nini wadau wanajiweka mbali na single mother.
Kitabu Cha Wasifu wa Malcolm X kinaelezea baada ya baba yake kufariki mama yake alikuwa na...
Ni saa 9:00 alasiri nakaribishwa na mwanamke ndani ya basi la AN COACH.
anatabasamu na kunikatia tiketi kwa adabu na heshima na anaonyesha weledi mkubwa kwa kazi yake.
Kwa haraka anaonekana kuwa...
Nipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.
Tumeona namna...
Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya...
Asee asee Nina changamoto moja,
Mimi nimeoa mwanamke, kabila ni muhaya,
Mwanzoni kumpata alinisumbua sana nikasema basi, nimemfuatilia kwa miezi kadhaa,.lakin baada ya kumpata ni kama nimejitia...
Nawasalimu.
Kama tujuavyo, wivu ni sehemu ya mapenzi lakini jamani ukizidi nahisi ni kero kubwa Sana Kwa upande wangu sijui Kwa wengine.
Mke wangu amekuwa na wivu ambao umekuwa Sam taim ni kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.