Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habar Wana JF! Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa...
18 Reactions
233 Replies
7K Views
Naombeni msaada ni jinsi gani naweza jinasua na hili janga. Nimefikia hatua ambayo nisipoonja mbususu ndani ya siku tatu napata disturbance kwenye mkuyenge, yaani nakosa amani, uhuru, utulivu...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau musalam!!! Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa... Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani...
5 Reactions
72 Replies
5K Views
Shikamooni, Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula...
13 Reactions
174 Replies
34K Views
Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
"Post mshindo clarity" ni ile hali akili inapotulia ikiwa haina tena wenge la tamaa za mwili baada ya kupiga mshindo au mishindo ya kuzimaliza hamu ya ngono, leo kilichonipata duhh! Binafsi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ananisimulia jamaa yangu:- Miaka kama tisa iliyopita nilikuwa kwenye mahusiano na Mwanadada mmoja tuliyekuwa tunafanya nae kazi kwenye kampuni moja. Ndani ya miaka mitatu mapenzi yetu yalikuwa...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Igweeeeeeeeeeeeeee!!!! Bado sijarudiii kiandika like kurudi. I am retired as promised except this story if a story of my friend! For now best friends huko mbele Nina mpango wa kuwa ndugu yake...
28 Reactions
1K Replies
150K Views
Wakuu , mchumba wangu wa zamani alioa zenji. Hakuachana hadi Leo. Rafiki zangu wameoa Zanzibar wote hadi naleo hawajaachana . Tujuzeni mapenzi ya Zanzibar yakoje? Yapojee? Maana sio...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Rafiki zangu wengi ninao piga nao kazi uwa wanaishi zaidi na watoto wao mwanamke anakuwa moshi. Ni mwaka na nusu rafiki yangu Moshi simjui mke wake. Kwann hii wandugu?
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau, Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori. Wadau hapa kuna...
3 Reactions
162 Replies
19K Views
Dunia imebadilika sana hasa kwenye suala la mapenzi Nimefanya utafiti mdogo kupitia Fb kwa muda mrefu nimegundua wasichana wengi siku hizi wamepoteza bikra zote mbele na nyuma Hata wavulana wengi...
1 Reactions
107 Replies
19K Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
32 Reactions
527 Replies
25K Views
Kuna watu inawahusu
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika mahusiano wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi. Kuna wakati mwanamke anaweza kujaribiwa na kujikuta akikabiliwa na hatari ya kumsaliti mwenzi wake. Kujaribiwa huko kunaweza...
28 Reactions
156 Replies
27K Views
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu? Nimetafakari maneno yaliyo kwenye moja ya post za Nifah nikajisikia kumtunuku kuwa ni Dada smart wa siku. Kilichonivutie kwake ni kipande hichi cha sentensi na nukuu...
9 Reactions
95 Replies
5K Views
Baadhi ya wanaume walio wengi huwadisi single mam kwa sababu kuu 3 zifuatazo, 1.Kutokujiamini,wanaume wengi wanaowadisi single mam huwa hawajiamin yan ni wale wanakua na wivu wa kijinga kwamba...
10 Reactions
100 Replies
7K Views
Bei za kupima DNA muhimbili hospitali zimepungua na kufikia shs laki moja hivyo kama huna uhakika na mtoto ulienae kama ni wako unaweza kuondoa utata.
2 Reactions
82 Replies
17K Views
Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu...
13 Reactions
79 Replies
937 Views
Back
Top Bottom