Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna dada mmoja nahisi sijui kaniroga au vipi. Kwani kwa mwezi mmoja sasa katika mapenzi yetu keshanifanyia vitimbi 90 vya kila aina, lakini kila nikiwaza tu kumfukuza kesho yake basi nashangaa...
2 Reactions
84 Replies
14K Views
Ile kitu haiitaji kanuni nyingi sana na complication ni popote na saa yoyote kwa wale wenye wake zao na wanaishi bado hawana mtoto, lakini pia kwa wapenzi wanaotembeleana au kwenda sehemu kwa...
4 Reactions
537 Replies
49K Views
Nina miaka 25 toka nina miaka 16 nimekuwa napenda sana kulala na malaya, kama pesa ipo huwa nawatafuta mpaka niwapate mpaka sasa nimelala na malaya si chini ya 150. Nakumbuka mwaka jana sehemu...
5 Reactions
273 Replies
50K Views
Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria...
23 Reactions
69 Replies
2K Views
Well, hii weekend nlienda kwa mshkaji wangu tuliemaliza nae chuo kimoja, yeye baada ya kusota kitaa akajiongeza hakuenda kusoma masters akafungua studio ya picha na maisha yakawa yanaenda. Sasa...
26 Reactions
70 Replies
12K Views
Picha za ngono zina wadada wazuri mno, inapelekea hisia kupotea tunapo kua na wadada wa huku kwetu,tufanyeje jamani, maana hawa wetu mikorogo sana ukimuangalia uwiano wa rangi...
3 Reactions
37 Replies
24K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25, nimepanga chumba kimoja uswahilini na hii nyumba tuko wapangaji kwenye vyumba vitatu. Tatizo linalonisumbua ni jirani yangu mmoja ana msichana wake ana matatizo kidogo...
2 Reactions
71 Replies
11K Views
Habari wanajamvi, Nimeamini usemi usemao usione watu wanaangua vicheko barabarani na wakati mwingine hadi machozi yanawamwagika kutokana na sababu mbalimbali, Ni kweli kwamba yapo machozi ya...
2 Reactions
114 Replies
29K Views
Wakuu napenda Kutanguliza samahani kama hii topic itawakwaza wengine.. Nina rafiki yangu wa kike kaolewa na ana mtoto wa miaka mitano .. Yeye na mume wake pamoja na mtoto wanaishi maisha...
5 Reactions
254 Replies
20K Views
Ni shemeji yangu mke wa kaka yangur, sijui lengo lake nini kwangu tunaheshimiana vya kutosha sina utani nae hata kidogo. Ni mfanyabiashara mara nyingi husafiri kwenda kuchukua mzingo akiwa...
3 Reactions
95 Replies
96K Views
If I were a boy………………………………….. Even just for a day I will wake up in the morning and throw on what I wanted to wear drink beer with the guys and chase after girls I will have the girl I wanted...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Mpenzi wangu nampenda sana ila hili limenifanya nishushe upendo wangu kwake na kutomuamini japo alinambia waliachana. Nimeona picha zake wakiwa na boyfriend wake wa zamani huku wamekaa kimahaba...
0 Reactions
84 Replies
13K Views
Habar wana JF, Mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti. Kila nikiona mwanamke mweupe au maji ya kunde namtaman sana, i...
1 Reactions
51 Replies
15K Views
Ramadhan Kareem na ftar njema, Ni kweli, jasiri haachi asili Leo nimejikuta nimerudi Misri. Ni yale yale ya Kasie hakuna jipya, this time ni Toyota Hilux T CST kama sijakosea ila maelezo hapa...
3 Reactions
79 Replies
6K Views
Ndugu wanaJF, kama tulivyozoea tunakuwa na shamrashamra 3 katika maisha; kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kufa: Basi mwana JF mwenzetu ndani ya Wing hii ya huku amepata mwenza na wanatarajia kufunga...
24 Reactions
240 Replies
18K Views
1. A girl knows how to demand. A woman knows how to contribute. 2. Girls complain too often. A woman will observe for a while, and then call her man's attention to the matter arising. 3. Girls can...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Unbelievable: Husband Badly Exposes Cheating Wife Who Has Been Bringing A mpango wa kando in their matrimonial Bed & Wishes them Death. A man who has been toiling day and night to provide for his...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasichana wengi wa kizazi cha leo hutoa mahaba ikiwa tu kuna bingo. Vijana wa kiume nao siku hizi wameshtuka, hawatoi mkwanja mpaka wamekula mzigo kwanza. Njia panda ni pale, ambapo nani aanze...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana kama mtu kuzaliwa mwanamke ni laana, hususan katika hii jamii yetu. Kwanini nimekuwa nikijiuliza hivyo? Sababu ni nyingi na hapo chini nitazitaja chache...
6 Reactions
66 Replies
9K Views
Habari wanabodi. Naomba tupeane darasa hapa tupate kujua yupi anastahili kuitwa nani na sababu za msingi kuitwa majina hayo. Wananchi wengi wamekuwa wakipotoshwa na baadhi ya wananchi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom