Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo...
Kuna mdada mmoja anatakiwa saa 10 hii awe ameshaamka ili ajiandae kwani anasafiri na basi la saa 11 na nusu kwenda mkoani kagera na kibaya zaidi ni mke wa mtu na tokea saa 9 kengele ya kumwamsha "...
Habari za mida wana Jf,
Nimekua na mgogoro mkubwa na mke wangu kwa muda flani sasa, nisingependa kuutaja maana nilishautaja mgogoro huo hapa na tulishaufunga mjadala huo. Kutokana na huo mgogoro...
Ndugu zangu salaam
Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na...
Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya...
Kutoka miaka 20 kwenda 30, miaka huwa ni kama haiendi inakuwa inasogea taratibu na kipindi hiki ndio mabinti wengi hukitumia vibaya kuringa na kudanga, wanatumika mno kumbe Mungu ndio amewapa...
Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao...
Habari wana jamvi ni hivi kunamdada mmoja nilikuwa namkubali kinyama ila alikuwa ananizingua ile staki na taka 2017 alienda kusoma utawa Singida sasa amerudi likizo Mimi nilikuwa nishasahau kabisa...
Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani
Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suluali yaani jeans imetoboka magotini
Sura imejaa...
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo...
rainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na...
Huyu demu ni mgeni hapa kitaa ana kama wiki mbili tangu aje hapa kutoka huko jiji la makonda,
Ofcourse ni mzuri kiasi chake, ile siku anafika tu Zero nikaanza mshobokea nikamaintain stutus ya...
Juzi kati nikiwa mitaa flani nilimtokea mtoto mmoja mkali standard wight hivi.. yaani mtoto ana factor of safety(Shundu) flani cha kichokozi..
Mwanangu mtoto alikuwa na rangi flani ya mtume...
Stephen King ,mtu maarufu kwa uandishi wa Vitabu duniani aliwahi kukataliwa Kazi zake Mara nyingi.
Aliwahi kwenda kwa wachapishaji (Publishers) wa Vitabu 30 wakikataa Kazi zake kwamba hazikuwa na...
Wanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua...
Kuna mwanamke kanivuruga kwenye mapenzi, nikawa sitaki mahusiano ebana mi hamu ikanibana nikanunua papuchi, heri pesa ningeporwa na vibaka nijue moja papuchi unapiga pushapu huhisi chochote halafu...
Wanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi!
Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.