Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama...
2 Reactions
24 Replies
365 Views
Mwandila mabestito, Yaani leo nimesoma kada moja hapa ambayo imenipa simanzi ya aiana yake kiasi kwamba imenibidi niandike hichi kitu hapa kwani sijawahiI ona sijawahi sikia na sijawahi...
4 Reactions
119 Replies
12K Views
jaman tujuane kabisa mimi ugonjwa wangu ni wanawake warefu wembamba huwa narizika saana je wenzangu....? ata mwanamke waweza toa maoni na wewe
2 Reactions
156 Replies
10K Views
Nimegundua wanaume wenye sura ya kawaida na uvaaji wa stara kama vile suruali na mkanda na Tai wanapenda kweli na wana maamuzi ya kiume ni wa kweli hawana longolongo. Tofauti na hawa tunaoshea...
12 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu, Naomba msaada wenu wa kimawazo juu ya kumnasua huyu Mjomba wangu ambaye amenaswa na kitoto kidogo cha darasa la saba jijini Tanga. Ipo hivi huyu Mjomba wangu tumepishana kiumri kidogo...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza! **** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu! “Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Nilijiunga Facebook muda kidogo kama miaka 6 sasa na kipindi chote nimekutana na watu mbali mbali ila sikuwahi kuwa na tamaa na mwanamke wa Facebook kwa maana ya mkumtongoza mwanamke Fb mpaka...
1 Reactions
165 Replies
15K Views
Umri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja. Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na...
12 Reactions
411 Replies
46K Views
Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha...
14 Reactions
309 Replies
58K Views
Habarini, Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu. Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge...
8 Reactions
167 Replies
16K Views
Habari wakuu, Kuna mdada mmoja ni fundi chereheni, ana mtoto mmoja, tuna mahusiano mwaka wa pili huu sasa ila naweza kuyaita mahusiano yetu ni ya msimu (seasonal relationship). Nilishawahi...
12 Reactions
98 Replies
8K Views
Juzi nimekutana na mwanamke ambaye hana kinyaa, kainyonya yote baada ya muda mchache nimefika kileleni nikajua atatoa lakini akameza kabisa. Tumemaliza nimekaa naye tunapiga story najua labda...
14 Reactions
94 Replies
11K Views
Wakuu, Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili. Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini...
9 Reactions
76 Replies
1K Views
I hope mko ok humu. Mwenzenu akili yangu imevurugika baada ya masikio yangu kusikia kishichosikika. Kwa wakati huu niko kwenye jiji moja maarufu hapa tz. Mzee wangu yuko kwenye his early 40's na...
29 Reactions
196 Replies
19K Views
Mwadila bandugu, Sasa yule mama lao, mama wa kufunda ndo nishatinga ulingoni nimewachora sana mmebwabwaja kila mmoja kaweka khanga yake yenye maneno kedekede mara nitwae hivi nilivyo " Wanawake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna sehemu unafika kirahisi kwa sababu ulipunguza watu wakujua njia ipi utapita na tena hata kuwafanya wakuone tayari umefika Sio kwa ubaya ila kwa manufaa yako mapana ni kheri upunguze...
10 Reactions
9 Replies
188 Views
Takriban miaka 15 imepita tokea nilipomuona malaika LIVE katika mwili wa binadamu....... Ilikuwa ni alfajiri muda wa saa kumi na moja nipo mitaa ya Kariakoo kwa kipindi hicho shughuli zangu...
15 Reactions
19 Replies
674 Views
Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu...
5 Reactions
16 Replies
297 Views
Hellow Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina...
19 Reactions
223 Replies
3K Views
Kuna mdada hapa mtaani kwetu, mimi namuona ana sura nzuri, Ana ngozi nzuri, mweupe, ana chura, halafu umri wake mdogo, tena hajaolewa, mpole, hana nyodo wala maringo, alikuwa anauza mgahawa wa...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Back
Top Bottom