Wajumbe wa jukwaa amani iwe nanyi,
Binadamu tuna majukumu mengi sana hapa duniani, lakini jukumu moja na muhimu zaidi ni kuzaa watoto, kuwalea na kuwawezesha ili nao wazae watoto na kuendeleza...
Kuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie...
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana...
Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala...
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke...
Shalom,
Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya mikoa na wilaya zake hapa Tanzania kuna mikoa ni kiboko kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na nyakati za kwenda kuoga kwa kuvaa kijola laini au...
Bila shaka, hapa kuna maelezo zaidi kuhusu maisha:
Maisha ni nini?
Maisha ni hali ya kuwa hai. Ni kipindi kati ya kuzaliwa na kufa kwa kiumbe. Maisha yanajumuisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na...
Kwa wanandoa hii inahusu sana wanawake
familia nyingi ziko mbioni kuharibika kwa sababu mke na mme wote ni viburi hakuna mtu wakushusha sauti
jamani wanawake ebu jitambueni kuwa ninyi ni nani...
Natumai mu buheri wa afya tele,
Bila kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili.
Nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnayekutana nae barabarani anaefanana na adui yangu ama mtu...
Wasalam!
Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi.
Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara...
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila...
Katika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi...
Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela.
Ni jambo...
Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana.
Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia...
Mapenzi hayana bima wala hayana formula maalumu ambayo kila mtu anaweza kuitumia na kupata matokeo yenye kufanana.
Unaweza kutengana na mwenza wako saa yoyote,muda wowote bila kujali uwekezaji...
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia...
Wakuu
Hakuna hata mmoja asiyemjua holoholo humu jukwaani. Kila mmoja wenu anajua kuwa mimi ni nani, nafanya nini na uhalisia wangu ukoje ijapokuwa hamjawahi kuniona hata mmoja wenu.
Wengi...
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.