anaandika
Madaga Kilambo Lubigisa.
"mimi nina mdogo wangu ambaye nimemzidi miaka kama sita hivi. huyu mdogo wangu ni kilanga moko sana. anawacharaza wanawake kama ndo profession yake hapa...
Duniani ni kusaidiana wakuu,kunachangamoto ya wadada kutokuwa na wapenzi hasa wale wenye umri mkubwa(30+).Kutokana na upungufu wa Me,mi nilikuwa naona njia ya kuwasaidia ni kuingia makubaliano ya...
Habari,
Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa?
Halafu unajifanya kupendaaaa... Eti ukiachwa unapata presha, asipate presha alombikri upate wewe...
Wadau shalom
Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa
Hata huyu shemeji yangu siku za...
Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa...
Wakuu usikumwema ngoja nipumzike shughuli nilioifanya Leo haikuwa ya mchezo hatakidogo wakuu hawa madem sio wakuwaamini kabisa ukiona analia sio kwamba anakulilia wewe Bali analilia Pesa zako...
Hapa sizungumzii ma ex ambao mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu kama mmoja kwenda nje kimasomo, kuhamishwa kikazi, kufungwa jela. n..k
Wanawake mlioolewa, je ex wako ambae...
Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume
Jamani kwa wale ambao...
Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane...
Wakuu hivi mmewah kujiuliza n Kwann sahiv tatizo LA nguvu za kiume limekua gumzo...yan ukijifanya doctor wa nguvu za kiume nowadays unapiga sana hela....
..ukwel n kwamba hamna mwanaume...
Ni jambo la kushangaza sana unakuta mwanamke anashindana na mume wake kuchepuka.
Hivi hamjui wanaume tunaweza kuoa wake wengi sana at the same time? Wewe mwanamke unaweza olewa mara mbili kwa...
Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe
Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili...
Napata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu...
Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia.
Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha...
Bora nizidi kuonekana wa mkoani tu,sina hamu ya chakula leo.
Medula oblangata hadi sasa hivi imepalarize kabisa na ulimi umepoteza test zote(tamu,chachu na chungu).Leo nimekutana na mchongoma...
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.
Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo...
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.
Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?
Na akichepuka...
Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.