Mwaka 2025 usikae kihasara
Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia
Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?
Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua...
Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex...
Ndugu zangu hamjambo?
Jamani nina mpenzi tumedumu muda sana tu na tumepitia vipindi tofauti yani ups and down.
Kuna kipindi tulikosana na mimi nikajitahidi kumuelewesha lakini akawa hataki hata...
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu...
Habari zenu bana.
Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake.
Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama...
Habari Wana JamiiForums
Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano
• Kipato
• Chumba uwe umepanga
• Shughuli yoyote itakayokuweka ubize
Vingine Wadau Ongezea kama...
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe...
Habari za leo wapendwa?
Kuna jamaa yangu ana galfriend wake anasoma Mzumbe ya Mbeya. Walikua wako poa tu kimahusiano na kimawasliano. Huyu jamaa makazi yake ni hapa Arusha na gal kwao ni Dar...
Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi...
Nilikuwa nikitafakari hivi wanaume wafupi kwanini uwa wakorofi? Masaa yote uisi wanawake ni kuwabanabana. Mda wote ulalamika sana ni kwamba hawajiamini nn! Na mie nilisha sema siitaji mwanaume...
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile...
Nimejifunza mambo mengi sana baada ya kunusurika kwenda jela kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mwanafunzi ambaye yupo chuo, japokuwa wanafunzi wengi wa chuo wanajitambua lakini siyo wote.
Bora...
Pale unapokuwa faragha na mpenzi wako halafu akataja jina la mshikaji mwingine inamaanisha kuwa umem-do kiwango sawa na huyo jamaa alie mtaja au nini?
Halafu unamuulza anakwambia ni jirani yake...
Salam zenu wanaume wenzangu,
Mwaka 2006 nilipata matatizo kazini, nikafukuzwa kazi tulishikwa red handed mim ina mwenzangu tukiuza mafuta ya kampuni, nilikua nafanya kazi kwenye kampuni ya...
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Huenda hii ikawa moja kati ya phrase maarufu sana duniani. Lakini je ni kwa Namna gani maisha hayapo fair? Hebu fikiria Snerio zifuatazo.
1. Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi...
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao.
sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi...
Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu sana na yenye furaha ukilinganisha na wale wanaotumia vitu vitamu vitamu kama juisi,soda n.k Hawa wanaotumia vilevi vya pombe huwa wana zile swaga au...
Kumpa mwanafunzi ujauzito na kutembea na mke kipi ni afadhali...! wakuu maana kuna jamaa alitembea na mke wa mtu walimfyeka mkono (story kutoka kijiweni) na kuna co worker mwenzangu kampa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.