Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Dear Comrades, kidumu chama la wana wenye akili timamu KATAA NDOA!!!👏👏👏 Jana imetoka hukumu ya Kesi ya mauaji ya mwanaume wa kitanzania aliyefanya mauaji ya mkewe na kisha kumchoma kwa gunia...
14 Reactions
45 Replies
823 Views
Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae...
8 Reactions
113 Replies
27K Views
Soko la mahusiano au soko la mapenzi (sexual market) ni soko la kufikirika (virtual market) ambalo wanawake na wanaume huingia na kutoka wakitafuta kubadilishana mahitaji mbali mbali ya kihisia...
9 Reactions
82 Replies
1K Views
Huyu dada namfaham kwa miaka mingi sana kama 6 sasa. ni dada mzuri kwa sura na umbo ana rangi nzuri ana shughuli zake binafsi na katika shughuli zake huko ndo tulikutana na kuwa marafiki...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja. Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
15 Reactions
205 Replies
13K Views
Poleni kwa Kazi wakuu, najua kila mtu anayo kazi yake ilimradi mwenyewe ukiwa umeikubali na inakufanya uwe busy. Nimekua nikijiuliza, hivi ni kitu gani mwanamke anakihitaji hasa kwa mwanaume ili...
18 Reactions
136 Replies
13K Views
Habari ya usiku wapendwa, Yako wa yamesalia masaa machache ili kuanza safari ya mapumziko na kusheherekea sikukuu za Krismasi na mwaka Mpya 2017, basi nikiwa naandaa vitu vya safari leo nikiwa na...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
Huyu msichana wangu wa zamani nina miaka 10 sijaonana. Amepanga kuja kunitembelea na kukaa siku 3 cha kushangaza na kinachonitia wasiwasi ni pale nilipomugusia suala la mgemgedo akanambia tena...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu, kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa...
7 Reactions
142 Replies
11K Views
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe. Si ajabu...
24 Reactions
134 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF, Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi...
4 Reactions
203 Replies
18K Views
Jamani naombeni ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo ni vigimu sana kumkuta na familia yake. Post sent using JamiiForums mobile app
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU. KINYUME Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama. Kosea...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Asalaam, Shukrani kwa wote, Mlotusaidia kuchagua jina, nilileta uzi hapa unaosema; Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya Shukrani za dhati ziende kwenu mliochangia kulingana na mada...
1 Reactions
3 Replies
911 Views
Asalaam Jamani wapendwa,leo asubuhi nimepigiwa simu aunt yangu kajifungua hivo tunaombeeni mtusaidie kuchagua jina kati ya haya...
3 Reactions
65 Replies
9K Views
Aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.Kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnunulia guitar akafurahi...
8 Reactions
130 Replies
12K Views
Huu ubinafsi wa kiwango cha juu sana Una watoto watatu wa kwako ila unasema huamini katika kuwa mahusiano na mwanaume mwenye mtoto. Ama unapenda mwanaume awe baba kwa watoto wako ambaye ulizaa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Msichana akiwa mtoto mkubwa kwenye Familia, ameolewa na anaishi DSM na familia yake. Kwao wamezaliwa watoto saba, kitinda mimba amemaliza form IV, majibu yalivyotoka combinations hazi kubalance...
7 Reactions
64 Replies
15K Views
Leo nimeshangaa kusikia kuwa juzi kwenye tamasha fulani la muziki huu wa kizazi kipya jamaa fulani kapigwa na mpenzi wake wa kike wote ni wasanii mpaka jamaa akawa analia kama mtoto. Nadhani...
2 Reactions
81 Replies
6K Views
Back
Top Bottom