Kuna yale majina ya kike yametokana na majina ya baba zao ila tu yamegeuzwa herufi ya mwisho.
Mara nyingi huwekwa "A".
Muda mwingine mzazi hulazimika kupindua jina ili tu kuleta sare ya majina...
My Heart Beats for You, My Charming Tumbili 🌟
Dearest Tumbili wa Mjini,
From the moment your mischievous smile lit up the chaos of this city, my world has never been the same. You swing into...
Ndugu Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza Leo hii kumekithiri Malalamiko ya Vijana Mabarobaro (bachelors) kwamba wanachunwa na Vidada vya Mjini sasa Kero hii imepata ufupumbuzi.
Nini...
Habari za maisha ndugu zangu wa jf.. Matumaini yangu ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku..
Back to the main point..
Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu niachane...
Yaani kadada kamemset mzee (uncle wake wife) mpaka amekuwa kama zezeta. Picha kamili ipo hivi. Huyu ni mzee wa heshima kabisa, ni bosi wa taasisi moja nyeti hapa Dar. Siku moja hivi kama mwaka...
Wakuu
Mimi ni kijana wa umri wa kuoa (miaka kati ya 23-30),mwezi wa nane mwaka jana nilienda kuchumbua katika kijiji jirani,
Nilienda na mwenyeji wangu,NA zoezi la kuchumbia lilikamilika na...
SOMO: ADUI MKUBWA WA NDOA
Kila ndoa ina taaabu zake.Hakuna ndoa yoyote duniani aambayo haina changamoto. LAKINI kuna Mambo yakipewa nafasi yanaweza kuleta balaa kwenye ndoa yoyote Ile .
Hapa...
Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka
Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini...
Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu...
Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye...
Umeshawahi angalia tv za makanisan
Ama ushawahi KWENDA makanisa ya kilokole NKAONA mapepo yanavyowatesa wanawake
Binafsi niliiwahi KWENDA kawe na bado naenda kawe na makanisa mengine ya kilokole...
Wana Jf
Nilijiunga chuo kikuu cha serikali nikitokea kazini. Hii inamaanisha nilikwenda nikiwa mtu mzima umri wa miaka 35. Kwa kuwa nilikuwa mtu mzima nilikutana na watoto wadogo sana na wengine...
Kuna siku mke wangu alinuna kwenye ndoa kila nikiomba tendo ananiwekea ty nafanya bila ushirikiano wowote.
Nikaamua kumchana na kumwekea ngumu na kusema siridhishwi na mwenendo wako kwa tendo...
JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI?
Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja.
kwa uzoefu...
Wakuu,
Kuwa na maumbile makubwa hasa mwanaume kunaweza kusababisha kuachana mapema baada ya kumpata umpendae, fikria umemtongoza dada wa watu kwa muda mrefu au unataka ule tunda kimasihara,lakini...
Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana?
Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.