Jamani eeeh kweli dunia sio mbaya walimwengu ndio wenye vihoja.
Mwishon mwa mwaka jana nilijikuta nafanya mapenz na mke wa superstar mmoja hapa bongo bila kujua.
Ilikua hivi, nakumbuka ilikua...
Kama heading inavyojieleza hapo juu....
Habarini wadau jamani mke wangu anaujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake...
Hello guys,
Kuna msemo mmoja unasema kuwa "behind every succesful man there is a woman", means kuwa mwanamke huchangia mafanikio ya mwanaume kwa kiasi kikubwa, i believe most of u JF men...
*Kweli wasichana mna akili za usiku tu. Unakuta msichana analalamika, "Ooh nyie wavulana ata mfanyiwe nn hamridhiki, ata mpendwe mara ngap, mi mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila...
Kuzingatia ya kwamba wale waliozaliwa mwaka 2000 wametimiza/wanatimiza miaka 18.
Kuzingatia ya kwamba watoto wa sasa hivi wanawahi kukua.
Kuzingatia ya kwamba kulala na minor ni sawa na kubaka...
Wana swaga za kishamba na njaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundition au NGOs wanajiabisha kwakweli. Swagga hizo wakawale wengine lakini sio hapa mjini Dar es Salaam, wamefeli...
Mimi sijipakulii minyama ila huyo mwanamke atakuwa kapata bahati sana Mimi sio mlevi sana, naheshimu mawazo ya watu, sikasiriki ovyo najitambua mno, simyenyekei mtu kisa ana pesa Wala mamlaka...
""Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni.
Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.
Mimi ni muislamu.
Lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya...
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.
Chanzo: minotv_tz
Na ndiyo...
Habarini za jioni wakuu?
katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao...
Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa.
Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini.
Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya...
Duh kazi kweli kweli dunia imeisha ,watu wanafanya matusi hadharani hiki ni kinyume na maadili, hivi Dar kuna shida gani?
Tatizo ni nini?
Hebu tujuzane wana jf
Wanajamvi.
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.
Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa...
Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale...
Hebu tupeni ushuhuda wale ambao mlioa mwanamke ambae alikuwa na ndoa yake akaachana na mumewe kwa ajili yako, je, unaishije nae? Mko happy au jinamizi la ndoa ya Kwanza linawatesa?
Pia wanawake...
Habari Wakuu
Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje?
Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa...
Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana.
"Nalivua pendo by Mwasiti"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.