Kama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako
Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu...
Mwanaume aliekamilika, rijali(sexually active) kua na mwanamke mmoja na mmoja pekee ni ulemavu na unaweza kusababisha magonjwa makubwa kama saratani ya tezi na mwisho kupelekea kifo.
Saratani ya...
Habari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.
Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa...
Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa...
Leo ndio nmeamini kwamba mapenzi hayana fundi,
Huyu demu nilikuwa nampa kila kitu kunako 6 kwa 6 ,kuanzia denda ,kumyonya k mixer kumterorize (Katero) lakini wapi eti jana jioni nimemfuma...
Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa...
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe...
Habari JF!
Hivi kweli kuna wanaume washawai kutongozwa na wanawake humu JF watupe uzoefu wao ilikuwaje, walikubali au walikataa? Au wewe Mdada ushawai kumtongoza mwanamme je mambo yalikuwaje?
Niende kwenye mada.
Unajuwa mila na desturi zetu za ki Afrika ni mara chache sana kwa jinsia ya kike kumwambia mwanaume kama anampenda.Mara nyingi mwanaume ndio tunao anza kuwatongoza hawa viumbe...
Mm n mmoja wapo...nilitongozwa na mwanamke..sikuweza kukataa ..nkapiga show then nikaendelea na utaratibu wangu..tupe ushuhuda wako kama mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kataa
Muhimu: Nimesema wengi sio wote
Ni kutokana na maisha waliyoyaishi
Akitoka shuleni, nyumbani hakuna kutoka (geti kali), ni kiangalia katuni na kufanya homework
Shule zao darasani unakuta watu...
Habari ya jioni wakuu na tuendelee kuchukua tahadhari Corona ipo.
Niende kwenye mada. Nimekuwa nikisoma maandiko mbalimbali ya watu wanaoomba ushauri kuhusu suala la kaka na dada kuwa wapenzi na...
Nakumbuka viroja na vituko vya watoto wa matajiri jinsi walivyoathiriwa na pesa nyingi za wazazi.
Chuoni nakumbuka nimesoma Arusha basi kuna kipindi chuo cha Ifm kilijaa ikabidi wanafunzi wengine...
Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.
Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe...
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.
Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu...
Kuna baadhi ya familia mwanaume akishindwa baadhi ya majukumu yake hasa ya kipato ni kawaida kusikia mume akimwambia mkewe 'fanya maarifa' au ufanye maarifa basi'
Hivi hili hasa linaamaanisha...
Eeeh bwana eeh wasalaaam.
Hebu wajuba njooni tutoe sababu za msingi zinazofanya tunawakimbia akina dada wanatupenda wao wenyewe bila kutumia nguvu nyingi.
Mimi binafsi nimekutana na kesi nyingi...
Wanaume wenzangu mnatakiwa mtambue kwamba kuwa na mwanamke siyo kosa ila kuwa na mwanamke mbaya asiye kidhi vigezo vyako ni kosa lako mwenyewe usilaumu na kutamani wake za wenzako,
Mungu kaumba...
Jamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba...
Kwa kizazi hiki na miaka hii, ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana, ikiwezekana mpongeze. Nakwambia kuna wenzako wanaishi na mume nyumba moja kitanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.