Wakuu!
Mtaani kuna stori nyingi sana. Sasa leo nimesikia kwa mara nyingine tena kwa wadau wangu wa kitaa kwamba wanadai etiy kufanya tendo la ndoa mida ya asubuhi kuanzia saa 11 hadi 12 kuna...
Yani mdada ukimwambia karibu uje Kunitembelea bhasi anajiandaa fresh kwa Kushave kila mahali alafu Wengine anajihami kwa kuvaa Pedy kumbe hata hableed... Sasa kosa Umuache aondoke bila Kumgegeda...
Mwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni.
Ila shida ni kwamba ananyonya...
Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri...
Habari wana jukwa hili pendwa.
Bila shaka hapa ni sehemu sahihi moja wapo yakupunguzia sumu za kifkra zinazowaua wanaume wengi.
Twende katika kusudio..
Nilikutana na binti mmoja toka Ruvuma...
Habari wana jukwaa pendwa kabisa wa MMU sasa naenda moja kwa moja kwenye point ya msingi Mimi ni kijana wa miaka ishirini but kimwonekano ni mfupi kiasi lakini kila nikijaribu kumtokea mwanamke...
Juzi kati nilijumuika na watu wa on transit to Marriage....
Moja ya agenda ilikuwa ni wimbi la mapenzi kinyume na maumbile, nini sababu kama vijana, Tumefikaje hapa? Uzoefu wa wanaotumia hii kitu...
Dunia ina mambo hii acheni tu.
Kuna jamaa bwana alikuwa ananitongoza .nikawa namuhold kwa sababu kwanza ni muongeaji sana pili nilikuwa Na mtu ambae simsomi Ila kumix watu wawili nikawa nashindwa...
Habarini Wakuu!!
Mwanamke lazima utambue jambo hili. Ili kuendana na ulimwengu na maisha halisi kuepuka tabu na msongo ya mawazo hapo badae.
Mwanamke huanza ku-expaya siku ya kwanza atoapo bikra...
Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa...
Habari wakuu,
Wadau wajukwaa lipendwalo na wengi naomba tusaidiane hapa maana sijui ni mkosi au nimefungwa na my wife. Hivi wadada siku hizi wameshaolewa wote,maana kila ninayegusa ananiambia ana...
Wanawake wengi wa kiafrica wamefanana sana kitabia na jinsi walivyozoea kukariri vitu!
Unapotongoza mwanamke wa kiafrica siku anapokukubali ni siku hiyo hiyo!
Kodi yake inaisha!
Mama yake analazwa...
Sitaki kutia chumvi yoyote,
Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya...
Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na watoto wenye tabia za ajabu mpaka ukashangaa sanaa unaweza baki na maswali mia kidogo tuanzie hapaa kuna siku nilikuwa naumwa bhna sasa...
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa...
Hakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa...
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa...
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya...
Mambo zenyu usiku huu,
Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ??
Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki
Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki...
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!
Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.