Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wazima ,bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada Na nyie kina dada acheni kusimulia mambo mazuri mnayofanyiwa na wapenzi wenu ona sasa yaliyomkuta ndugu wa rafiki yangu. Iko hivi, rafiki...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni...
36 Reactions
323 Replies
5K Views
Za mda huu hapo ulipo.. Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana. Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu...
26 Reactions
108 Replies
6K Views
Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu...
24 Reactions
71 Replies
8K Views
Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa...
8 Reactions
88 Replies
6K Views
Hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi khs wanaume hawa kwamba wengi wao hatuna nguvu za kiume,mara hatuwezi kwenda round2 or 3 bila kupumza nk. Nataka nikwmbie fanya research wanaume wa dar ndio...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wakuu? Nilisafiri siku kadhaa nyuma hapo nimerejea juzi home. Sasa katika kutiana na wife wakati naingiza rungu langu kwake nikaona ngoma imezama tu bila tabu, kwa uzoefu...
31 Reactions
128 Replies
4K Views
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume). Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko...
5 Reactions
138 Replies
18K Views
Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali? Tafiti ndogo isiyo rasmi inaonyesha kuna uzinzi mwingi unafanyika kwa wanandoa nje ya ndoa zao. Tena imekuwa kama ni kawaida...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikuwa anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before...
4 Reactions
136 Replies
12K Views
Salam wana JF, Kama kuna mtu hajawai kutendwa katika mahusiano ya kimapenzi pamoja na ndoa, ajitokeze aeleze ni nini siri ya kutotendwa ili na sisi tunaotendwa tutumie njia hiyo, maana nshachoka...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi...
10 Reactions
143 Replies
18K Views
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia...
12 Reactions
228 Replies
32K Views
Salaam wadau Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake...
4 Reactions
253 Replies
70K Views
Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta...
41 Reactions
327 Replies
24K Views
Karibuni wanaume wote ma bikira tuweze ku share mambo kadhaa yanayo tuhusu, pia afya ya uzazi ili tuwe makini tukiingia kwenye mahusiano. Karibuni sana. Nb: Kama umewai piga mastarbation wewe...
11 Reactions
119 Replies
8K Views
Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa...
12 Reactions
82 Replies
6K Views
Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa. Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia...
6 Reactions
104 Replies
12K Views
Kwanini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na...
13 Reactions
212 Replies
24K Views
Back
Top Bottom