Wakuu ebu tuwe wawazi, hivi uko mliko serious mnafeel na kuexperience real love? Maana kwa upande wangu mambo ni bila bila, mapenzi ya kweli naishia kuyaona kwenye movies na kuyasikia kwenye...
Nikiri tu mimi ni mlevi na napenda wanawake wenye chura/makalio makubwa. Yaani akipita mwanamke mwenye makalio makubwa lazima nimuangalie/nigeukie. Yaani ukiniuliza ni kwanini hata sijui...
Habari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya...
Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara...
Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa...
Wakuu habari
Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga...
Tokea Form 6 nimekua nikiwaza kujiajiri tuu, ila vile maisha ya kiyatima na kimaskini yamenichelewesha kidogo.
Ila nashukuru Mungu Nina miaka 30 na mambo yanaenda (I have started Small..!!)...
Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?
Wanawake wachache...
Hello Wapendwa.
Kuna mahala fulani huwa ninasafiri kwenda mara kwa mara kufuatilia mambo ya kibiashara.Huko mahala ninaposafiri huwa kuna mama yangu mkubwa anaishi huko lakini siku zote huwa...
Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza...
Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja sasa ananifanyia visa ananitumia Picha za mpenzi wake kwa...
Salama wanajamvi, Nilikua na msichana mmoja tangu darasa la 7, sekondari na hata sekuwah ku do nae ad tulpomaliza form four nilimpenda na nilmwamini sana kabla yaku do aliniambia yeye ni bi.k.ra...
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
Wadau habari zat weekend.Natumaini ni wazima.
Leo naomba kuwekwa sawa kuhusu jambo hili.siku hizi vijana wengi wamekuwa wakijiua sababu ya mapenzi.Je ni sababu ya kupenda sana au ni kufikiri...
KARMA - Kidamali: Wewe Mwenyewe Ndiye
Ilifika mahali sikuogopa tena kuuliza ni kiasi gani walichohitaji kuhakikisha mipango yangu inakamilika. Hali ilikuwa mbaya kiasi hicho. Rushwa haikuwa siri...
Dear Readers especially hawa wanaume,
Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi.
Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na...
Susan Metta ni mwanamke wa miaka 40 kutoka nchini Kenya. Miaka miwili iliyopita alipopashwa habari za kuwa alikuwa na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi,badala ya kukumbwa na simanzi huzuni...
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?
Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja...
"Mke mzuri si yule aliye na sura nzuri tu, bali yule anayejenga nyumba kwa hekima, uvumilivu na upendo."
Wadau wa Jamiiforums, heshima kwenu! Karibuni kwenye mada muhimu na yenye manufaa kwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.