aisee watu mnapenda ubuyu.mnataka nifukuzwe kazi eeeh ? wakati nikiwapiga mzinga mnakuja na thread humu .acheni nijitafutie rizki bana maana bills zangu nalipa mwenyewe.pm yangu mmejaza lawama...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Mimi naomba kujua kwanini wanawake weusi huwaga ni watamu sana aisee
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake...
Ndugu wadau wa JF,
mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya...
Ni ajabu!
Mkesha wa mwaka mpya watu walijaa makanisani, viwanjani au mahemani kuomba wafanikiwe mwaka 2018.
Waafrika kweli tu wavivu wa kufikiri, yaani uombewe ufanikiwe? Ubarikiwe? Huu ni...
Naombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili
Kwa sababu...
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo...
Leo nimefurahia sana kituko kimetokea maeneo fulani nikaribu mastendi ya hapo na kwetu.
Mudada alizoea kupewa lift na jamaa inavyosemekana kila siku asubuhi kama miezi mitatu hivi anakuja kwa huyo...
Kuna bidada next door kutokana na wenge la upwiru nikaweka kumbe mtoto wa watu kanogewa akaja kwenda kwao huko mji kasoro Sasa communication zikaendelea full kujibebisha mi namchora tu.
Sasa...
Nayasema haya nikiwa na simanzi moyoni hasa nikiwa katika wakati ambao mbili haisomi moja haisomi.
Hii naomba iwafikie wagonga ulimbo wote asee kama bado kula yako tu ni ya kuunga unga kama...
Heshima kwenu wakuu,
Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae.
Hii itasaidia kuamsha...
Habari,
Imekua ikinitokea kwa mademu kadhaa naanza nao kwenye mahusiano ila baada ya kupeana mabusu mademu hao mawasiliano yanaisha hapo hapo na wengine wana block namba yangu, wa mara ya mwisho...
Twendeni taratibu limenikamata mwenzenu!, Mkeka umekaa hivi
Janeth siku yake yakuzaliwa ni 23/2... ambayo ni leo!.
Jackie nae mchepuko siku yake ya kuzaliwa ni 23/2.. ambayo pia ni leo!.
Bongo...
Mahusiano ya miaka na nyakati hizi yamegubikwa na changamoto nyingi sana kutokana na kusokenana na mfumo rasmi wa kuratibu na kusimamia ustawi wake katika hatua za awali na kadiri muda unavyozidi...
JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike ..
Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe..
Let's say mmedate, mmeunganisha...
Moja ya taasisi kongwe saana duniani ni "familia". Familia ndiyo kiunganishi cha kwanza cha jamii. Jamii iliyoungana siku zote hufanikiwa kwa kila jambo lifabyikalo.
Hivyohivyo, Familia/wanandoa...
Wakuu,
Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9).
Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa...
MwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..."
ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.