Aseee, Mimi ndie.
FREE ERICK KAFLAG!
Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto...
..WAKUBWA humu ndani, Boxing Day ilikuwa Poa Sana kwangu, kwani Ule mzigo nilioufuatilia miezi miwili nyuma ulikuja maeneo.
Sasa huku mechi inaendelea Mistaili Kama yote, Kufika Mbuzi kagoma...
Sasa ni wazi kuwa Kizza Besigye alichumbiana na Janet Museveni mke wa Yoweri Museveni (Rais wa Uganda) kabla ya Museveni kumuoa.
Baadaye, Besigye kama daktari wa binafsi wa Yoweri Museveni...
UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na...
Wakuu,
Yapata miaka miwili iliyopita tangu niamue kuachana na binti niliyempenda sana.
Ilikuwa hivi....
Binti alikuwa anasoma kidato cha nne mwaka huo,ikatokea nimempenda sana,nikaanza nae...
Wadada wengine aibu hawana. Umemuacha mwanaume wakati amepoteza kipato na haitoshi ukamsaliti tena wazi wazi kila mtu anaona!
Kaka wa watu amejipiga ameinuka tena, unarudi na blah blah eti...
Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.
Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵
Sasa hivi...
Hivi ni kweli kuna dawa za mvuto wa mapenzi? Yani dawa inayoweza kufanya umpate msichana yeyote unaemtaka. Na kama zipo na zipata wapi?
Maana kuna mtoto ananisumbua mwaka wa pili huu hataki...
Niliwahi kuishi Jirani na single mom mwenye mtoto wa miaka 3, nimwage sifa zote kwa huyu mama maana alikuwa ni pisi haswa, yupo kwenye 28, shape matata, urefu kiasi futi 5.6, Rangi mashalaah...
Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa.
Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta...
Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji...
Siku moja mama aliniita alikuwa amekaa na baba ukumbini. Kilikuwa kama kikao cha dharura hivi. Mama akafunguka maswali yafuatayo.
Hivi mwanangu mbona sijawahi kuona, wala kusikia hata kidogo kama...
Ndoa nyingi za siku hizi zinapatikana kwa njia hii...
Baada ya kutendwa na kuachwa na mpenzi wake aliyempenda kwa dhati, sasa anaamua kutafuta mtu yeyote wa kupoza maumivu ya kuachwa.
Penzi jipya...
Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.