Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.
Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh...
Salaam wanaJF.
Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,
Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na...
Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.
Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka...
Ladies njooni tubadilishane uzoefu kidogo, wewe nini kimeshawahi kukukata au kukupunguzia msisimko? (kwenye mahusiano yako ya sasa au yaliyopita)
Baadhi ya mambo ambayo nimekua nayasikia mara kwa...
Mume wangu ananipa Laki 5 k
Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na...
Guys kiukweli mwanamke muongo anaumiza sana,,, Binafsi nasema toka moyoni siwezi kuendeleza dating na demu niliyemgundua dhahiri kuwa ni Muongo, kwanza sifa ya kwanza ya mwanamke Muongo ni MALAYA...
Sijui kwako ndoa ina maana gani lakini kwangu Mimi ndoa ilinipotezea Muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu.
Sikuwahi kuwaza chochote kuhusu ndoa wala kuitamani, lakini...
Husika na kichwa cha habari , Umeshawai kumuacha mpnz wako halafu ukajutia baada ya kukutana na Bomu zaidi , halafu unatamani kumrudia uliyemuacha, Funguka tupate experience mbali mbali
Wakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣
Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila...
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi...
State of mind na afya ya akili ya vijana wa kibongo utaijulia humu JF. At some point kijana anaweza akakakurushia dongo kali humu, yani 24hrs yeye amevurugwa.
Frustration imekuwa kali, vijana...
Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani?
Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine...
Hii ni trend ya maisha ambayo wanawake wa kisasa wameichagua, ni timeline ya chaos, delusions na entitlements zao ambazo zina-influence maamuzi yao.
HOE PHASE
12-15: Hapa anaanza mahusiano ya...
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??
Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi...
WANAUME WENGI WANAPOTAKA KUOA SINGLE MAMAZ WANAZINGATIA MAMBO ANUAI...
1. Single mama ambaye mtoto wake amefikisha umri walau Miaka mitano, wanasema huyu tayari mziz⁸i wa upendo na mzazi mwenzake...
Nyieee....
mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa.
Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni...
Kama mwanaume, inakuwaje unakubali na kuamua kuwa watoto wako walelewe na mke wako pekee na si wewe pia kama baba katika familia?
Nadhani ni muhimu kuuliza, kwa nini mwanaume angeweza kuchukua...
Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.
Iko hivi, mimi...
.Miaka 18-20 Anasoma ata hbr za ndoa Bado akiambiwa atakuambia unataka kukatisha ndoto zake.
Lkn ana boyfriend ambae wapo kwenye mahusiano.
Miaka 21-27
Hapa Binti wa moto kweli,kila mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.