Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu, Unakumbuka siku ambayo uliingia rasmi katika dunia ya utamu? Dunia ya kunyandua au kunyanduliwa? Nani alikuingiza huko,je ulihisi nini wakati unanyanduliwa/unanyandua? Wazo la kwanza...
10 Reactions
77 Replies
2K Views
Hamjambo wote! Kuna watu wanafurahisha Sana. Ati wanamshangaa na kumsimanga Azizi Ki kwa kutoa Mahari 30m na Ng'ombe 30 na kumshutumu na kumkejeli kwamba ni mshamba sijui kanunua gazeti la Juzi...
9 Reactions
62 Replies
1K Views
  • Redirect
Men
Young man in your 20s, women are not your friends, pussy is your greatest enemy Never try to build anything with a woman at that age because it will surely scatter to nothing, don't try to...
0 Reactions
Replies
Views
Jamaa amekaa na mkewe kwa zaidi ya miaka 15, lakini mkewe akawa anachepuka na jamaa mwingine huko nje ambaye ni mkataa ndoa. Baada ya kufumaniwa, akapewa talaka hapo hapo; hajui anaanzia wapi...
13 Reactions
107 Replies
3K Views
Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili...
16 Reactions
81 Replies
1K Views
Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni...
8 Reactions
12 Replies
244 Views
Wakuu habari zenu, Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school, nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala...
15 Reactions
424 Replies
37K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
31 Reactions
234 Replies
14K Views
Namna rahisi ya kuingia Marekani ni kupitia Fulbright programs ambazo huchukua watu vichwa kutoka Nchi zinazoendelea na kuwapeleka Marekani kujinoa. Fulbright wanaratibu miradi ikiwemo FLTA...
1 Reactions
0 Replies
135 Views
Kuna mdada ambaye nimempenda sana na ningependa awe wa kufa na kuzikana kama mambo yangekuwa yapo ndivyo sivyo, mdada ni mfanyakazi anaposition nzuri tu na anajiweza kimaisha, kwa muda wa mwaka...
1 Reactions
89 Replies
6K Views
Hiki kidubwasha ni hatari sana,nuliwahi kuishi nchi fulani sitaitaja jina,sikuwa na kazi ya kufanya,nikajiunga bendi ya wajamaica tukipiga Jazz na Salsa kwenye mahoteli makubwa,mimi nilikuwa...
29 Reactions
69 Replies
2K Views
Wasalamu wakuu. Ni hivi, huyu binti kanichosha. Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani...
22 Reactions
150 Replies
14K Views
Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda. Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake. Kuna rafiki yake na...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️ Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula. Haya...
5 Reactions
25 Replies
744 Views
Wakuu, Natafuta mke,umri kuanzia miaka 18 hadi 23, mwenye umri huo ani pm tuyajenge tutaelewana Naomba kuwasilisha.
10 Reactions
115 Replies
1K Views
Wakuu ndio najiandaa kupeleka posa kwa binti wa kizaramu wenyeji wa huko mambo gani haswa yanazingatiwa ?, heshima kwenu wakuu
1 Reactions
23 Replies
10K Views
1.Mwanamke ni binadamu mwenye anafunguliwa biashara ya kuuza mboga na mumewe halafu kama mume amekosa pesa aambiwe mke chukua mboga tupike anakasirika na kusema mumewe atamfilisisha biashara yake...
3 Reactions
22 Replies
459 Views
Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu! Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka...
21 Reactions
99 Replies
3K Views
Kwenye ujana una mambo yake. Nahisi sio Kwa wanaume pekee la hasha yamkini hata wanawake Huwa Kuta hili. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja Hivi wakitusi. Huyu dada nilikuwa namzidi...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Asante sana Hamissa Mobeto
11 Reactions
132 Replies
2K Views
Back
Top Bottom