Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF...
Habar za majukumu ndug zangu,
Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.
Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina...
kwema ammu?
Naombeni ushauri wenu wenye hekima, inawezekana vipi ndugu mliozaliwa tumbo moja tena amekupita umri
karibu miaka 10 yaani kawahi kuliöna jua kabla yangu leo hii nimepata mitihani...
Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye...
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani...
Baby Hujambo
Nimekaa hapa mbele ya computer yangu usiku huu , nafikiria leo nikuandikie kwa lugha gani , ili uelewe ninachotaka kusema , mwanzo nilitaka kuandika kwa kiingereza lakini nikasema...
Nilikua na plan ya kwenda Mafinga huko mkoani Iringa baada ya miaka 10 kupita toka nilipohama. Kitaa kuna jamaa ambaye naye anatokea huko, katika kupiga story akaniambia ukitaka kwenda niambie...
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa...
Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k
Kasi ya uovu huo...
Wakuu Salaam!!!!!
Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina...
Hakuna mtu mbaya kwenye upendo, unaweza kumbadilisha awe na muonekano wowote unaotaka; muhimu tu upendo uwepo.
Ila kuna wengine wakibadilishwa, wanasahau walikotoka; na kupelekea aliyembadilisha...
Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but...
Ndiyo!
Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅
sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali?
Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi...
Heri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani,
Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi...
Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza...
Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili?
Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.