Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
4 Reactions
10 Replies
562 Views
WANAOUA NDOA Uvivu huua ndoa. Mashaka huua ndoa. Kukosa uaminifu huua ndoa. Kukosa heshima ya pande zote huua ndoa. Kutokusamehe huua ndoa (Msamaha si chaguo, ni lazima). Mabishano huua...
3 Reactions
9 Replies
520 Views
Kama kawaida katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi wakuu , Hamuwezi amini Nimekutana na Bikra ,Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7, awamu hii ndio nimekutana na Bikra,sio Bikra tu ni...
18 Reactions
77 Replies
2K Views
Okey, kwa hio hao mafisadi wanaotuibia pesa miongo na miongo wanatajirika hadi watoto wao tena wanakuja kutuongoza sisi, wenyewe hawajipatii nuksi kutokana na uchungu wanaotusababishia ila sisi...
14 Reactions
63 Replies
1K Views
Habari wandugu Niseme tuu hii sikukuu kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi Dar nina mwanamke Arusha na Moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikukuu wakakubali. Jana nikafunga...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory...
1 Reactions
73 Replies
79K Views
Wakuu Bandiko la binti ndo kama hilo ================================================================== UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA UWABATA S.L.P 444 Dar es Salaam, Tanzania YAH...
4 Reactions
3 Replies
502 Views
Mabinti Feb inamalizika Umru unaenda March tunaongelea robo Mwaka angalia yapi unapitia Niwakumbushe tu kweli maisha magumu lakini KUNA jambo nimeona niwaase Leo hiii Sio kila anaekutongoza...
0 Reactions
4 Replies
229 Views
Nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu.Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu? Lakini hivyo vibinti vyembamba vinavyotoka na wazungu vinakuja tena kwetu...
1 Reactions
38 Replies
15K Views
Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na...
28 Reactions
70 Replies
2K Views
Je ni dem gani wa kuchagua kati ya wa kishua vs wa Uchwara?
3 Reactions
27 Replies
594 Views
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa...
21 Reactions
47 Replies
1K Views
Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪 NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo, "siyo mpaka upigwe tukio"
0 Reactions
7 Replies
202 Views
Uzinzi ni nini? Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako. Pana...
3 Reactions
67 Replies
1K Views
Hello jamiiforum. Hope mko salama Happy birthday to me , Nimezaliwa tarehe 2 Mwezi wa pili Miaka mingi iliyopita. Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si...
5 Reactions
33 Replies
896 Views
Ndugu najua kabisa mtashangaa ni kwanini hawa wawili au wengine mtasema ni promo au kujitoa akili ila ndivyo ilivyo. Siku moja natamani sana Depal au Leejay49 awe mama watoto wangu msiniulize ni...
16 Reactions
193 Replies
5K Views
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana...
4 Reactions
87 Replies
2K Views
Jada Smith, Mke wa Mwigizaji Will Smith amefunguka kuwa yeye ni Mraibu wa ngono, hivyo Mume wake peke yake hawezi kumtosheleza. Jada anaeleza kuwa uraibu wa ngono umeanza tangu akiwa Mdogo na...
14 Reactions
91 Replies
5K Views
Naitwa ngosha(jina la utani) naishi songwe (mkoa mpya) Nilipo fikia umri wa barehe nilianza kugundua vitu flani .kwamba mbona wenzangu wanapata madem kiurahisi lakini kwangu inaniwia vigumu sana...
8 Reactions
134 Replies
11K Views
Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom