Juzi kati hapa nilileta uzi kuwa nimepata mtoto wa chuo na huu ni mwezi wa tatu hajaomba cha vocha wala hela yoyote.
Sasa kama mjuavyo vyuo vimefunguliwa wiki hii na hajapata chumba bado...
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh...
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.
Moyo wangu...
Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali...
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA
Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu...
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA
Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu...
Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly".
Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists...
Salaam jamiiforum
Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko...
Hivi kweli Kuna mapenzi matamu kwa mke na mume kwenye ndoa
Au mm nilikosea wapi? Duniani kuishi ni maramoja tu. Je? Nikubali kwamba mm raha ya mapenzi nitaionea kaburini.
Au nifanye tu maamuzi...
Ubora wa kitu chochote huwa ni kati kwa kati.Ukionyesha heshima kupitiliza kwa mtu yeyote unaweza kugeuzwa mtumwa kwa kulazimishwa kuhatarisha maisha yako kwa lengo la kumfurahisha mtu ambaye...
Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na...
Wenyeji wa jamvi salaaam.
Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa...
Hili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na...
Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake).
Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni...
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninaishi na mwanamke ambae tumepanga kuoana na kufunga ndoa. Nilipokutana na mwezangu nilikuwa nafanya kazi serikalini kwa mkataba. Kipindi chote hicho...
Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani...
Kuwa na utambuzi bandia , kuna faida nyingi lakini vile vile kuna ficha mengi na kutatiza mengi pia.. Utambuzi bandia huleta hali ya kujiona wote tuko sawa kiumri, kiufahamu, kielimu, maono hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.