Mambo vp wakuu,
Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au...
Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi...
wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume...
Unajua Mhusiano bado ni Mada pana Sana lakini tugusie leo kitu kidogo tu kwenye swala la Game.
Mwanaume always akiwa na mtu lazima awe na hisia naye hivyo basi yeye hawezi chukia tendo, Lakini...
Ni kile kitendo cha kutokea mwanamke na kumwambia nakupenda, nimejaribu zaidi ya mwaka lakini nikubali tu kutongoza imenishinda aisee. Jumlishia pesa yenyewe ya kuunga unga! Naweza kumpenda...
1. Huyo unaemnunua anamvulia kila Mwenye pesa hata kama ni kichaa, ivyo wewe msafi unavyoenda kushiriki nae unajivisha Maroho machafu kwa starehe ya dk tu🤦♂️
2. Hivi unatambua baadhi ya matajiri...
To all nice guys, these modern women doesn't want anything serious, they just wanna have fun.
Kama wewe ni nice guy tambua kwamba upo katika kizazi ambacho ni hatari kwa afya, akili na uchumi...
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..#ametokea mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa...
Usijidanganye mwanamme mwenzangu kuwa kuna siku utamridhisha mwanamke kwa lolote,kuanzia kwenye kumgegeda mpaka masuala ya kawaida,
wanawake wengi wao akili yao kama kuku,ukimpa mchele juu...
Kwa wenye mnajua ngeli twende kazi.
Mr magical power, post and hide id.
I want you guys to tell me if my husband really loves me. Immediately I was married my hubby and his mother brought me two...
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milion5, imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mkewangu tu
Ila...
Tumo humu kujadiliana mambo ya mahusiano kwa kuwa kuna mtu anaitwa Maxence Melo na wenzake usiku na mchana wanahangaika tuwe humu tena tukiwa salama. Melo kakamatwa na bado anashikiliwa na Polisi...
Nimeoa mwanamke ili kumukomoa mwanamke ambaye nilimpenda kwa dhati ambaye nilikuwa naye mahusiano kipindi cha mwaka mmoja.
Tuliahindiana kumuoa ila doto hizo zilizimika pale nilpomununulia simu ya...
Leo siku yangu imeharibika kabisa, kuna huyu mdada niko naye mwaka wa pili sasa kwenye mahusiano kumbe ni mke wa mtu bhana. na siku zote ananiambia hana mume mtoto wake aliye naye baba yake...
Kuna watu wanashangaza sana.
Unakuta mtu anahangaika kuitafuta namba yako hadi anaipata.
Halafu akishaipata anaanza kukupigia simu.
Na kila ukipokea na kusema 'haloo' mwenzio anakata simu.
Halafu...
Habari wadau,
Aisee hiki kimekuwa ni kipindi kizito sana katika sehemu ya maisha yangu baada ya kujikuta nilimuangukia kimapenzi mtoto mmoja ambaye alitokea kunielewa sana kipindi naanza 1st year...
Salaam wakuu,
Hivi mnaofanya hivyo mnapata faida gani kwa kutunga stori za uongo uongo? Mara umeachana na mke kisa kakunyima kipochi manyoya na wengine sijui mmemkula mama mkwe! Acheni hizoo...
Duh!!
Kuna kabinti kamoja kazuuri sana yaani Wema anaigiza hiyo inye Masogange cha mtoto yani kaenda hewani kama Uwoya hivi yani in general ni shida.
Nilikafahamu mwaka jana December kama hivi...
Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.