Hapo vipi,
Embwana kuna msichana mmoja hapa kitaani , japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo...
Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Unajua baada ya mwanamke kumpata mwenza wake wa raha na shida huwa mara moja moja wengine wanaendelea na zile tabia zao za zamani au mahusiano mengine yasiyo rasmi lakini huwa waangalifu sana...
Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍
Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes...
Nilijuaga hivi visa ni kwenye bongo movie tu😂
Binti mzuri, chocolate skin, honest looking, very simple hadi alikuaga ananiamsha usiku tusali ahah mtoto yule wa kilokole😂
Nilimjulia wakati...
Naendelea kushuhudia kuongezeka kwa matukio ya baadhi ya familia watoto hasa wengine wakiwa na miaka 17 wakishirikishwa katika kusuluhisha migogoro ya wazazi wao.
Inawezekana hali hii inatokana...
imagine umeshaonana na binti mara kadhaa mmeshapiga piga love stories na nini na mambo mengine tayari umeshamtoa mtoa out mara kadhaa na kumrushia voucher. unakuja mwambia njoo home weekend...
kukua na kupanuka kwa sayansi na teknolojia kumekuwa na matokeo hasi na chanya katika jamii.
kupanuka kwa matumizi ya simu na mitandao ya kijamii kumeleta changamoto katika mahusiano ya kimapenzi...
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.
Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana...
Eti kupambana nimkojoze? Kama hajaamua mwenyewe? Mi huwa namwambia kabisa demu suala la yeye kukojoa lina mchango wetu sote na yeye mchango mkubwa wa asilimia zaidi ya 80. Mimi ishirini.
Sasa eti...
Wasalaamu,
Katika kautafiti kangu kafupi nimegundua wanawake wengi wenye chura, uwezo wao wa kupambanua mambo ni mdogo na wengi wanaumizwa sana kunako .
Wengine akili zao chache zilizopo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Nilikuwa ni mbabe wa kutafuta mademu mitandaon lakin sasa nimekoma
Haata baadh ya watu waliokuwa wakinishaur...
Lakini ana watoto wawili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto,
Nimekuja kujua kama ana watoto baada ya mtoto wake kuugua na kuhitaji msaada wangu kwaajili ya...
Habarizenu wanajamvi? Mimi nimepata msichana wa kikenya sema anaongea kama mwanajeshi. Hivi hawa wanafaa kuingizwa ndani kweli?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Tofauti ya kuwa msomaji wa jamii forum sintokaaa kuanzisha mada yeyote especially kimapenzi .
Nitakuwa na changia mada tena ikinibidi kuna kitu kimenitokea thats why.
Good day
Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, wanaume huwa wanadhani wanaweza lakini hawawezi.
Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume
KUNDI LA...
Sifa zako hazivumiliki, nakuacha rasmi nawaachia wenzangu.
1: una kibamia
Kwakweli nimejitahidi kukizoea ila naona najitesa tu, kidudu kama sigara no please.
2: ubahili
Bora ungekua sio bahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.