Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu nataka kushare nanyi tu yaliyonikuta. Hizi zama si sawa na za zamani. Michepuko hivi sasa inasimamia shoo. Yani unakutana na binti ambae wala hukutarajia kama atafanya anayofanya. Kuna...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari za weekend Jaman hebu tupunguze uongo kila mtu anasema yupo single Hana mpenzi. Wengine mnaishi na wake na waume zenu lakin kutwa kujisifia na kulalamika nimeachwa na mpenzi wangu...
8 Reactions
144 Replies
6K Views
Nimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua Leo asubuhi amenipikia mtori na maziwa, nyama kilo moja, akanitengea yote kwenye poti moja kubwa, nikala kwa mbinde...
25 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kwa hili analolifanya mke wangu amezamiria kuniua, toka nimerudi safari mke wangu anataka kila siku tupige mechi sio mchana wala usiku hii weeks tumesex zaidi ya mara 20, hapa...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Kwa sasa kumekuwa na mazoea tena kwa sana ya Wanawake wengi kuhamasika na kuwa na shauku la mabwana ama marafiki zao kuwashukia chimvini yaani kuwanyonya na kuwalamba kisimi kabla ya kudu...
4 Reactions
47 Replies
14K Views
Habari za muda huu wapendwa, Bila ya shaka sisi sote kwa namna moja au nyingine ni wahanga wa hili jambo kwenye jamii au ndoa zetu lakini ni wachache sana walio we za kuvuka salama salimini...
9 Reactions
30 Replies
10K Views
Eti hivi ni kweli wanawake wa kihaya wanajua mapenzi zaidi ya wanawake wa makabila mengine? Nini faida na hasara za kuoa mwanamke wa kihaya?
1 Reactions
103 Replies
43K Views
Habari zenu wandugu, Poleni na majukumu. nimeona nitoe tahadhari kwa vijana wanaoishi nyumbani kwao au hata maboss wenye ma-house girl(matured 19yrs+) kuzoea kuwatania kwa maneno yenye mistari ya...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Nafanya kazi mbali na ninapoishi kwa hiyo huwa ninalala huko ninakofanyia kazi ambako nimepanga chumba cha dharura. Siku ya jtano wiki hii niliagana na mke wangu kuwa naelekea kazini na nitarudi...
2 Reactions
133 Replies
14K Views
Hii ni kwa wanawake wote wa Daressalaam.. Hamna radha tena wala ushawishi wa asili kwenye mahaba mmebaki kuigiza kila kitu.. 1.MOYONI Hamjulikani mnawaza nini na mnafikiria nini aidha mnapenda...
11 Reactions
136 Replies
14K Views
Mwaka 2000 nlikuwa namdate dada mmoja yupo humu ameshaolewa kwa sasa ana watoto watatu. Wakati tuna jig jig huyu dada kwa kuzidiwa na raha alijisaidia kidogo.haikuwa mbaya sana sababu alikuwa...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Miaka ya Nyuma kidogo kulikuwa na binti mmoja mrembo pale mtaani kwetu, binti kutoka familia yenye uwezo (ya kishua). Binti huyu wanaume waliogopa Kutoka Naye na pia hata kumtongoza kutokana na...
6 Reactions
89 Replies
6K Views
Najifunza kupost thread tafadhali msinitukane.
1 Reactions
23 Replies
1K Views
DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo. Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na...
3 Reactions
14 Replies
959 Views
Mke ukiona haya jua kuna kitu hakijakaa sawa kati ya baba na dada anayewasaidia kazi za ndani... DALILI YA KWANZA Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano wa kimapenzi...
3 Reactions
66 Replies
19K Views
Wakuu habari zenu. Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka...
32 Reactions
243 Replies
9K Views
Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli. Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahivi hanivutii kabisa kwa huu unene! Mtu...
30 Reactions
93 Replies
2K Views
Habarini Wakuu Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo. Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake...
14 Reactions
181 Replies
5K Views
Huu ndio mwezi wetu wale wote tulio penzini, yaan lile penzi shatashata sio penzi la upande mmoja, raha ya penzi liwe 'nachuro' sio penzi la mizizi na kuaguliwa, Anyway, kikubwa penzi liwepo na...
15 Reactions
132 Replies
4K Views
It's my first thread here and I hope we all get along guys, actually nilikua nahitaji sehemu sahihi ya kuelezea what I went through and I think this is the right place.... Changamoto...
10 Reactions
104 Replies
2K Views
Back
Top Bottom