Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mimi nataka kuwaambiwa jf kuwa ndoa ni heshima jamani oeni , maana wanaume wanadai wamechoka kusitiri wenzie . Jamani tusitirini kwani tatizo liko wapi??
3 Reactions
44 Replies
485 Views
Unakuta mume si wako ila unakiherehere wewe ndio unashadadia vitu kama mume wako. Mtu akipiga unapokea unamuliza wewe nani, kwani wewe nani. Kila mahali unamganda mume wa mwenzako unajitoa kama...
1 Reactions
6 Replies
337 Views
Habari za wakati huu wadau? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko...
9 Reactions
70 Replies
1K Views
Habarini za siku nyingi wana jamvi, Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote. Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio...
14 Reactions
156 Replies
14K Views
Akina dada nipende kuwashauri kitu kimoja. Msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisi moja na kuwaona wa thamani kubwa watu msiowajua hasa wa kwenye mitandao mkidhani kuwa hao ndio wana...
13 Reactions
81 Replies
7K Views
Bwana awe nanyi, Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent. Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi...
3 Reactions
311 Replies
39K Views
Ni rafiki yangu, alienda Dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni...
9 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari wadau, Jambo la kujifunza kabla mwaka haujabadilika ni hili hapa, kama kuna silaha iliowahi kuwa na nguvu duniani basi ni pesa tu. Itakupa vingi vizuri na kila aina ya raha ya maisha...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu, Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe. Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila...
14 Reactions
72 Replies
1K Views
Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two...
47 Reactions
168 Replies
4K Views
Habari ya jioni ndugu zangu wa Jf. Kwanza nimshukuru Mungu wetu Mwema katika jina la Yesu kwa kutulinda na kututunza hata Leo. Takribani miaka 10 liyo pita, nilipata tatizo la akili yangu mnamo...
34 Reactions
67 Replies
6K Views
Kama humu JF na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa, changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu, ukiangalia...
57 Reactions
306 Replies
21K Views
( true story) Ilikua ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana nikiwa nachezea PC nikiangalia Movie, ndipo nilipowaka tamaa ya mapenzi iliyojawa na hatari kubwa ndani yake, Ndipo nilipoamua...
16 Reactions
50 Replies
5K Views
Kitu kimoja cha kuelewa ni " mapenzi ni mfumo unaojitegemea!" usilalamikie mapenzi kuwa ni kitu cha hovyo bali wapenzi ndo hovyo!,maana mapenzi ni kama njia tu,wanaopita ndo huamua wapiteje lkn...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku...
7 Reactions
43 Replies
1K Views
hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
6 Reactions
183 Replies
9K Views
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha...
2 Reactions
80 Replies
6K Views
Salaam, Mimi kuna kitu huwa siwezi kabisa kukifanya, nimkute mwanaume wangu na mwanamke mwingine, sitomfanya chochote kabisa. Kwani yeye amefwatwa kama mimi alivyonifata akanitongoza tu.Sasa...
20 Reactions
422 Replies
44K Views
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa...
4 Reactions
126 Replies
7K Views
ugonile, huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria...
10 Reactions
82 Replies
1K Views
Back
Top Bottom