Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hakuna familia imara inayoongozwa na baba dhaifu /baba legelege. baba legelege sio huleta mateso kwa watoto bali huwa chanzo cha manyanyaso kwa mama watoto wake. Baba legelege huwa hawezi...
6 Reactions
11 Replies
828 Views
Habari za muda huu waungwana. Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha. Ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia, hivyo basi hatuwezi kuyacha...
15 Reactions
89 Replies
2K Views
Binti mmoja alitoroka kijijini kwao na kukimbilia mjini kutafuta maisha, akarudi kwao baada ya miaka mitano. Na muda wote huo alikuwa kimya hakuandika barua wala kutuma ujumbe. Siku hiyo ghafla...
5 Reactions
4 Replies
357 Views
Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya...
11 Reactions
82 Replies
2K Views
Salaam jamiiforum Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo. Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno. Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya...
21 Reactions
49 Replies
538 Views
Wakuu, Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa...
14 Reactions
37 Replies
986 Views
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo...
11 Reactions
53 Replies
1K Views
Mapenzi siyo poa kabisa!
5 Reactions
13 Replies
478 Views
Hili ni jina la hovyo kabisa ambalo wanaume tumewapa wanawake,ni upuuzi na utovu wa heshima kwa wanawake
10 Reactions
32 Replies
496 Views
Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume. Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Moja ya tamaduni za kale huko nchini DENMARK ....tamaduni hiyo iliyokuwa inahamasisha suala LA ujenzi wa familia iliitwa “pebermø”. Inasemekana tamaduni hiyo ilikuwa karne nyingi zilizopita...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k. Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
2 Reactions
11 Replies
297 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu...
23 Reactions
116 Replies
1K Views
Jamani za muda huu, Baadhi ya wapenzi wetu muwe mnakata viuno vya wastani wakati wa kusex. Viuno vikizidi hadi beat tunakosea nawaombeni sana mapenz sio ugomvi ile ni burudani. Nawasilisha
29 Reactions
301 Replies
42K Views
Nauliza swali tu wanaume . Nani anawaambia kuwa mimi ni wakuzalishwa bila ndoa naninataka kupunguziwa haja na mtu ?? Jueni hili miaka yenu yote mie nilionwa sifai nanyie nikazoeaa . Halafu kila...
13 Reactions
53 Replies
847 Views
Ilikuwa mwaka 2006 ndio nimemaliza chuo na kuajiriwa kwenye Taasisi moja ya fedha. Siku moja nikapigiwa simu na mdada, akasema amekosea namba, hakika kwangu alikuwa mgeni kabisa. Kwenye maongezi...
12 Reactions
39 Replies
6K Views
wana JF leo nimeona nilete marejesho Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua...
7 Reactions
158 Replies
18K Views
Habari Wakuu! Imekuwa sasa ni tabia kwa baadhi ya Wanaume wajinga kurusha makombora, vijembe na kejeli kwa dada zetu Single Mother. Wengi wamekuwa wakiwapa maneno ya dhihaka, shutuma na shombo...
12 Reactions
187 Replies
17K Views
Heri ya Maulid waislam wote na nadhani mmekula chakula kitamu nakuenjoy Eti mtu aliyezaliwa 1989 mpaka 1995 na hawajaolewa mnawaitaje? Maana nimekuta hii video https://vm.tiktok.com/ZMh8XnhSP/...
2 Reactions
29 Replies
575 Views
I love u nimekukumbuka ulikuwa unanipa zawadi,mapenzi,vacation,time yako, unanijali kweli. Pesa umekuwa kila kitu kwangu where are you pesaaa. Where are you.
2 Reactions
5 Replies
325 Views
Back
Top Bottom