Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hii ni Hali ya mabadiliko ya ngozi na mwonekano wa mwili pale ambapo unapopata furaha kupitiliza hasa katika penzi jipya. Hali hii uwapata baadhi ya wapendanao hasa wanapokua ktk penzi jipya na...
7 Reactions
22 Replies
437 Views
Unakubaliana na Chris Breezy?" Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown "Sidhani kama ndoa ina maana yoyote...
19 Reactions
63 Replies
2K Views
Usiyejua maana ya upendo kutwa kucha unamfanya mwenzio kama kinanda anakulilia wewe na wala hujali thamani ya machozi yake. Siku zako zinahesabika ipo siku na wewe utalia zaidi yake. NASEMA NA...
2 Reactions
0 Replies
85 Views
Wana MMU, Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto. Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu...
55 Reactions
295 Replies
14K Views
Habari za wekeend wakuu, Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano...
13 Reactions
109 Replies
3K Views
Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste. ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani👇👇 Ni...
3 Reactions
6 Replies
236 Views
Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama Wiki iliyopita nilipata...
20 Reactions
113 Replies
10K Views
Habari vipenzi. Ninajiandaa kusuruhisha mahusiano ya mdogo wangu aliechumbia mnyarwanda, familia hii imeishia Tanzania tangu 1980. Hivyo mdogo wangu baada ya kupata mchumba kwenye familia ile...
2 Reactions
7 Replies
289 Views
Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja", Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother...
27 Reactions
112 Replies
2K Views
  • Redirect
Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja) Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3. yaani...
10 Reactions
Replies
Views
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒 naskia...
19 Reactions
194 Replies
3K Views
Jaman ni Muda watu Leo, zawadi mtoe mpaka kielewek ila vyote kwa vyote heri ya siku ya wapendanao Tuendelee kuwapenda wanaotujali hasa wazazi wetu na watu wa karibu 😍😍💃🏾💃🏾
15 Reactions
90 Replies
851 Views
Habari, Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia. Naombeni...
18 Reactions
449 Replies
53K Views
Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January. Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb. Inafuata birthday ya mama...
19 Reactions
67 Replies
1K Views
Habarini za Muda huu Kuna mkasa nimeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa. Ila kubwa kabisa...
17 Reactions
164 Replies
22K Views
Salaam nyingi kwenu wana JF… niliwamiss sana humu ndani Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF... Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi...
30 Reactions
320 Replies
4K Views
Kuna Imani zimeingia kwenye jamii zetu kwamba ,wanawake wakae tu majumbani wasubiri huduma Toka Kwa waume zao,Kwa kisingizio eti wao wanalea watoto,kupika na kutoa penzi pekee ndio kazi kuu...
1 Reactions
9 Replies
324 Views
Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli? Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia. Hivi...
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Back
Top Bottom