Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Heri ya 2017 JF massive. Dakika chache tu zilizopita kuna jambo jema/ zuri limenitokea. Nimeamka na njaa ikabidi niwashe gari niende Bojangles kununua staftahi. Kufika hapo nikaamua kutokushuka...
14 Reactions
61 Replies
5K Views
Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika , anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini? yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo. mpeni...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu, Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani. Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni...
9 Reactions
75 Replies
13K Views
Habari wanna jf. Wiki ilitopita nilienda bukoba kumtembelea jamaa yangu huko bukoba kilichonishangaza ni wanawake WA huko wengi wao wanatafta weupe kwa kujikoboa wary Hawaii ni washamba kumbe...
4 Reactions
86 Replies
44K Views
Habari wana MMU Kwanza Namshukuru mungu japo kuna matatizo yananiandama sipo vizur leo napenda kuwapa mbinu Wadada kugundua aina na Ukubwa wa nyoka [emoji216][emoji216][emoji216] au dushelele za...
11 Reactions
123 Replies
13K Views
Habari wana MMU Imenisikitisha sana, nilikua nipo sehemu ya watu wengi wake kwa waume, wengi tumejitenga kwa vikundi vikundi, pembeni ya kundi letu kulikua na kundi la wanawake wanne, wanajadili...
6 Reactions
232 Replies
40K Views
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka. Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe...
26 Reactions
214 Replies
14K Views
Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa. Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato...
25 Reactions
151 Replies
4K Views
Introduction:- Hoya niaje wanaume wenzangu.. Kama nilivyoandika kwenye heading ""Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?"" Scenario. Nazungumza na wewe baharia mwenzangu 1. Upo Halmashauri...
38 Reactions
150 Replies
6K Views
Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda. But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada...
5 Reactions
127 Replies
11K Views
wadada wa bongo muwe waelewa,wanaume tunatafuta pesa kwa tabu sana,so unaponiomba pesa nikakuambia sina, uelewe sina kweli sio unavimbisha mimashavu. ona mfano wa jinsi wanaume tunavyorisk maisha...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Ivi ni ajabu dogo janja kumuoa Irene uwoya?? Kwa mimi sioni ajabu hata Kidogo kwani mtu mpaka anaamua kuolewa na huyo mwanaume ujue karidhika nae. Kama asingeridhika nae asingesubutu kuolewa nae...
5 Reactions
125 Replies
32K Views
Niaje watu wazima wenzangu..? Hivi siku hizi mambo yamekuwa viceversa? Ndani ya wiki mbili nimetongoza wanawake kama nane hivi, wawili nishawashughulikia ni wakali balaa...wala hata sikuamini kama...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Nmeshangaa sana kwa huyu dada mrembo ambaye anakaa kwenye apartment za hapa karibu nami. Si za mwanzao tulionana tulikuwa tunafanya jogging kishkaji tu. Akanisalimia nami nikamjibu kwa pozi za ki...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari ndugu! Kuna baadhi ya wanaume ndani ya ndoa huamua kumwendeleza kielimu/kumsomesha mke wake katika ngazi mbalimbali ili wasaidiane baadae kupambana na maisha! Lakini tabia za hao wake za...
10 Reactions
80 Replies
11K Views
1. Ni mbea, hakuna skendo iliyowahi kumpita, yuko vizuri sana kufwatilia mambo yasiyomuhusu, huko atapoteza mda mwingi kufatilia mambo ya watu. 2. Ni mjinga, akitongozwa anasimulia, unaweza mpiga...
13 Reactions
32 Replies
6K Views
Hello, Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Morogoro, tatizo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwili iliyo pita kwa hiyo sipendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Natumaini ni Jumatatu nyingine ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa basi na Mungu awe pamoja nanyi. Kama kichwa cha habari...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Hii imekaaje wazee mwezi December nataka kufunga ndoa KKKT Mbezi Dar. Sasa watu wananishangaa kwanini sichangishi na wala siwaambii. Mchungaji wangu ameniambia kazi yake ni kufungisha ndoa hayo...
24 Reactions
210 Replies
27K Views
Back
Top Bottom