Idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.Mfumo wa uzazi unaharibika watafiti...
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana...
Asikudanganye mtu. Magari yana maana kubwa sana kwa wenzetu na mimi nmeona athari zake pia katika jamii yetu. Pata muda jaribu kutafakari wenye kuendesha magari aina hii.
1. Subaru
2. Alteza
3...
Kupenda ni maamuzi ya kihisia/ moyo, huku kunaweza sababishwa na kitu chochote hasa physique ya mtu au tabia
Kuamua kupenda ni conscious decision, maamuzi ya akili, haya ni matokeo ya situational...
Habari wanajf
Kumekuwa na tatizo kubwa la wadada wengi kupiga vizinga wanaume nakushauri ndugu zangu usikubali hii hali hata kidogo inaweza kuharibu mipango yako maisha maana hapo inakuwa sio...
Its all about love.....!❣️
Iko hivii....
Kuna mahala nilienda kwenye shughuli ya kiofisi, baada ya ziara kuisha tukatembezwa kwenye karakana kuona uzalishaji...
Muda ukawa umeisha tukiwa...
Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.
Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo...
Wakuu naomba ufafanuzi hii imekaaje.
Inasemekana kuna wanawake wana baraka na wengine wana nuksi ukitembea nao wanakuachia nuksi zao.
Je, ikiwa mtu kachepuka na mdada mwenye nuksi akirudi...
Kwa vijana hasa vidume wenzangu....
Niliingia Tanga mwaka jana mwanzoni, ugeni ni upofu nikakurupuka nikamtongoza binti flan wa mtaa wa pili ni muajiriwa wa serikali.
Huyu binti ni mweupe...
Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6.
Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani...
Msije kusema sikuwaambia,
Niliwahi kuwa msaidizi wa dereva wa lori moja hivi linalobeba nafaka kutoka Dodoma na Morogoro kuelekea Dsm, huyu dereva na wenzie walikuwa na kautaratibu ka kufika eneo...
Humu jf wanaume nao ni wapweke kuna makundi mengi ya wanaume wapweke.
1. Wanandoa
Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke...
Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu...
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.
Mi ninaweza kaa na simu mpaka...
(Story ya Asamoah Gyan)
Intro 👇👇
✍️Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia Wanawake wana jicho la kuforecast mafanikio ya mtu kabla hata mtu mwenyewe hajayaona , Yaani mwanamke anaweza kukuweka...
Eee bwana eeh, stori za mtaa ni noma sana! Basi ebwana, ulikua utotoni kwetu mtoto wa kike mrembo alikua mmoja tu, Leah yule kapisi keupe, si unajua tena sisi wanaume tulivyokuwa tunamuwania. Sasa...
Wapendwa naleta uzi huu mbele yenu kwa sababu mimi ni miongoni mwa wanaume wachache kama siyo wengi, waliyowahi kupata fursa ya kukata utepe!
Binafsi nimewahi pata bahati ya kukata utepe/kubikiri...
Nakusanua mwanaume mwenzangu
Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike
Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.