Shalom,
Naripoti toka Dodoma City
Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa...
Hii ni true story alinihadithia rafiki yangu
Mm na mpenz wangu Tupo kwenye love kwa miaka 4 sasa na nimeamua kumuoa,kitu ambacho kinanisumbua ni huyu mdogo wake wa kike, shemeji yangu huyu...
Anonymous member
LEO NIMEPELEKEWA MOTO BARAA!!
Pls hide my name. Aiseee mara moja moja tunapeana stori za kijinga jamani sio kila mara tunakua too serious. Sometimes we have to be silly. Leo...
Hakuna uamuzi wa busara katika maisha yako kama kuwaruhusu wanaotaka kuondoka waondoke, hii itakupa machungu kwa muda fulani lakini baadae utapona.
Usianze kubembeleza na kusaga meno kwasababu tu...
Hali ya simanzi imetanda katika kijiji kimoja huko Kapsabet kaunti ya Nandi Nchini Kenya baada ya Mwanajeshi wa Kikosi cha Ulinzi cha Kenya (KDF) kumkata sehemu za siri kisha kumuua Kasisi wa...
Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi..
Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika...
Habari wa ndugu leo nataka niulize nijue kwa sisi wanaume ikitokea mmeachana na demu ile kujipa moyo tunasema "Muhimu nimepiga" 😁
Sasa kwa nyinyi wanawake huwa mnasemaje 😁
Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo.
Na...
Kama unataka kuona rangi rangi kwenye maisha yako Ole wako uoe Tanga, labda uoe wasambaa the rest makabila yaliobakia ni kupe tu nakuambia utafilisika kama hauna akili mzuri dadeki hawa Wanawake...
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu...
Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa..
Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu...
Shalom,
Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako.
Tuendelee na maisha matamu
Wadiz
Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha...
Hellow
Kwa majina naitwa washasimu washasimu ni mtoto wa tatu kwenye familia yetu kati ya watoto wa 5 na hii ndio historia yangu kwa ufupi
MAISHA YANGU YA UTOTO
Maisha yangu ya utoto kati ya...
Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio...
Hapo zamani kidogo, nikiwa naishi gheto za Kariobangi, kulikuwa na mrembo mmoja mtaa wa pili aitwaye Shani. Shani alikuwa binti wa kisura, rangi ya kopo, anachoma shoti mpaka maboy wa mtaa...
Nilikua nimekaa mahali mida ilikua imekwenda kidogo.
Sasa akaja jamaa akapaki hapo.
Zikapita dakika kumi akatoka mwanamke na mtoto mdogo wa kiume.
Akaingia ndani ya usafiri wa jamaa wakaongea...
Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind.
This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...
MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.