Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwatukana wasioolewa na kuwaona wabaya na kuwachukulia wana mikosi
Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwaona waliozalia nyumbani kama vile wana tabia mbaya...
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa...
Hello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao...
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri.
Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k
You don't need to chase...
Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa.
Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba...
Ukifika jeshi kabla ya kuanza mafunzo kuna ile introduction to Depo, kwenye introduction to Depo mutazungushwa maeneo yote ya kambi , mutapewa miiko na amri zote.
Ili baadaye ukikosea ujue kabisa...
“Wanawake mjiheshimu, achenikuita wanaume zenu malaya, mwanaume hawezi kua malaya, kua na madodo mengi ni haki yake ya msingi as long as yeye anayaka”.
“Wanaume ondoa dhana potofu ya umalaya...
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza kuna mdada nilikutananae wiki iliyopita kwa kifupi nilimwelewa nikamwomba namba akanipa tukayajenga fresh akakubali baada ya hapo nikaomba nionane nae sehemu...
Humu ferooz kalia sana kwa Boss
Juma nature ndio kama yule mwanao kabisa wa damu ana hasira mbaya na boss kwa uhuni aliokufanyia.
Alafu mchizi solo thang ana poza hasira kwa mwanae ferooz...
Mi nimekoma..UMALAYA UMALAYA UMALAYA UMALAYA
utatuua.
Basi mi nilikuwa nafanya kazi kwenye stationary ya mtu na hapo stationary kuna M-Pesa. Basi kuna mubaba akawa anakuja kutoa hela mara atoe...
Habari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?
Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta...
hii inawahusu wanaume mabachela ambao wanapambana ila pesa ni kikwazo, linapokuja swala la mahari jamii nyingi za Tanzania hazina mchezo kabsa kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno...
linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa.
kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa.
utalia upunguziwe watokomea 3m...
Hali ni mbaya Sana kwa mkoa wa Tanga sijawahi kuona kiwango cha watu kuona Kama umalaya ni kazi yaani kwa watu wengi wa Tanga hususani wilaya ya Tanga,pangani na mkinga Kwao umalaya ni kazi yao...
Siku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika...
Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa!
Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi...
1. They are selfish.
2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons.
3. They are emotional damaged. They don't care of other...
USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊
1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba.
2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe...
Unaweza kushangaa ikiwa hufahamu hili,
Ikiwa mwanamke atapenda ufujaji na matumizi yako mabovu ya fedha basi kuwa na hakika ya kuwa uko na mwanamke mjinga na malaya!
Wanawake makini na wenye...
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.