Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa...
22 Reactions
185 Replies
13K Views
Jamani hawa ni watu wa hali ya chini lakini wana mapenzi ya dhati tofauti na hawa wadada wengine.Hawachuni sana ani ukiwapa buku wanaridhika.Wanajua kutunza na ndo mana unakuta hata mama mwenye...
3 Reactions
94 Replies
22K Views
Hapa mtaani kuna dada mmoja anafanyakazi mjini (nadhani kariakoo) amejenga nyumba yake. Sasa huyu dada ana msichana wa kazi mzuri anaridhisha sura, umbo, na chura. Umri wake kama miaka 17 kuelekea...
9 Reactions
96 Replies
3K Views
Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿 Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina...
41 Reactions
324 Replies
6K Views
Kazi yoyote lazima ifanywe kwa ufanisi ili ilete matokeo mazuri,na iwe endelevu ili iweze kuleta tija kwa wafanyakazi,,,hivi umeshawi kumsikia mtu amechoka kufanya kazi ikiwa hiyo kazi ndiyo inayo...
6 Reactions
8 Replies
750 Views
Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa. Ndio kwanza...
15 Reactions
137 Replies
7K Views
Wakuu, Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na...
0 Reactions
9 Replies
545 Views
Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies. You are the one that...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Nikianza kusema hivyo kuna watu watafikiria kuna kitu nafanya halafu siwezi kuacha kukifanya.Sio hivyo mimi siwezi kuacha kwa maana ya kuacha hasa. Mimi kwa sasa nimebaki na wake watatu baada ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu ni mwaka wa nne Sasa Sina hata girl friend nilikua nae wakuzugia tangu nilipo kuwa na miaka 23 hadi Sasa nipo bila bila yaani sielewi. Japo walikuwepo walio nishawishi hapo katika japo...
8 Reactions
62 Replies
2K Views
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitumiwa message fb na watu wengi sana wa nje ya nchi wakiombq namba zangu za whatsapp je hawa ni matapeli?
0 Reactions
6 Replies
189 Views
Hii kitu inauma sana, yaani kitu unaiona kabisa halafu demu anakaza serious duh sio poa yaani
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kilichotokea Kenya ni fundisho kwa wengine. Tuliache hilo. Mwanamke mpe hela, hasa yule unayetarajia kuishi naye. Mpe hela kisha tazama matumizi yake au ushauri wake kwenye pesa zako. Hii ya...
5 Reactions
12 Replies
460 Views
  • Closed
Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu. Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa...
20 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuna siku nimekutana na post moja ambapo mwamba anasema anamtext mrembo halafu hujibu baada ya masaa mawili au matatu. Mwamba akawa anauliza, "Hivi imekaaje?" Wakati unatafakari juu ya jambo hilo...
28 Reactions
129 Replies
5K Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
55 Reactions
636 Replies
22K Views
Ukiazima simu yake unataka kumpigia mtu au kuchek video naye utaona anajisogeza anahofu unaweza kwenda kusiko akaumbuka,wakati mwingine anakunyima,anaenda nayo kuoga.Ongeza nawewe tabia nyingine...
4 Reactions
19 Replies
916 Views
Back
Top Bottom