Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa...
18 Reactions
28 Replies
48K Views
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! Mara mama anaumwa naomba...
24 Reactions
300 Replies
40K Views
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wakijiji, Mungu ni mwema ametupa neema ya mwaka 2023 ni mwaka mwingine ya zamani yamepita acha kutembea na fikra za 2022. Nirudi kwenye mada husika...... Maandiko...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa kweli mimi binafsi hiyo siku sikumbuki chochote ila najua hiyo siku ilikuwepo. Demu wangu wa kwanza simkumbuki ila nakumbuka zamaaaniii enzi za utoto za kucheza baba na mama. Mvua hizi ndo...
5 Reactions
1K Replies
345K Views
Haya ni maboresho ya uzi niliowahi kuuandika ila niliuandika nikiwa sijatulia na maneno mengi nilikosea kutype, uzi huu nimesahisha maneno na niomeongezea vya ziada. Mkasa huu nawaletea ulitokea...
18 Reactions
34 Replies
7K Views
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
12 Reactions
329 Replies
7K Views
Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week). Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Hello wanajamvi Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari...
47 Reactions
283 Replies
14K Views
Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9. Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana...
12 Reactions
241 Replies
25K Views
Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
0 Reactions
7 Replies
644 Views
Unakuta mwanamke anampa mwanaume uusichana wake ila sio mtu sahihi. Mwanaume anakula tu nakusepa. Hivi hii hali nikwanini hutokeaga hivyo?? Asilimia kubwa ni wapita njia??
4 Reactions
34 Replies
4K Views
sema king of squart yaliyomo yamo.
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Mimi nilizaliwa miaka ya 90, ni mtoto wa 3 kwenye familia ya watoto 5. Katika hatua za ukuaji, nilionyesha tabia za tofauti na wenzangu. Mama alisema nilikuwa sieleweki kama nna furaha au...
20 Reactions
48 Replies
1K Views
Binafsi mwaka jana mwezi wa pili walikuja walimu wa field shuleni, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko...
37 Reactions
601 Replies
138K Views
😥 Wakuu hapa nipo hospitali namuuguza ndugu fulani hivi ila nimekumbuka mbali sana, ni sehemu ambapo 2022 nililazwa, basi nilikuwaga nimepata kimanzi changu first year wakati niko third year...
18 Reactions
24 Replies
831 Views
Utafiti wa Taasisi ya Collaborative Community Solutions wa Desemba 23, 2023 wa kutathmini athari za Ukatili kwa Watoto ulibaini kuwa mtoto kushuhudia aina yoyote ya ukatili huathiri maendeleo na...
0 Reactions
2 Replies
356 Views
Wadau Saluti Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100% Mimi...
12 Reactions
180 Replies
3K Views
Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani Mchumba amekuja hapa bongo kwa ajili...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa hapa au Hii stage niliyofikia sisikiii la mtu Wowote maana mpenzi anayonipaa mpenzi wangu kokubanza wa nyaishozi ni raha ndugu Zangu wa jamii forum vp na wewe mdau umewahi kupendwa na binti wa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kama mnavyojua kipindi hiki kwa hapa Tukuyu Mbeya wilaya ya Rungwe miezi hii ya sita kuelekea wa saba ni kipindi cha baridi sana. Leo nimepata bahati ya kutembelewa na ka anko kangu ambako ni...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Back
Top Bottom