Wadau wa jukwa hili natumaini hamjambo na kwale waliopata na misukosuko ya mafuriko poleni sana.
Nina swali langu hili.
Baada ya kusoma yale yanayoendelea Mbagala Zakhem watu kufanya ngono mchana...
Mambo mengine kumbe huja automatic, nakuwa na msukumo mno wa kuwa na familia,watoto najihisi msukumo tokea ndani ya nafsi yangu
Umri unakimbia age mate wote nafikiri now wanafamilia kama si...
"Hakuna Mwanamke anayetaka Ustaarabu katika Tendo la Ndoa bali wengi wanataka Vurugu na Kuchoshwa", kasema Mtaalam wa Saikolojia.
Kwa maana nyingine Wanawake wanapenda Kucheza Ligi Kuu ya...
Kwanza mnapaswa kujua akili wote mnazo isipokuwa mmetofautiana kwenye uwezo wa kutumia hizo akili na kufanya maamuzi.
Brain sciens inaonesha mwanamke ana ute mweupe, whitematter mwingi zaid...
"Mwanaume akiwa anaiingiza huku anaona inavyoingia hufurahia sana na humuongezea Mzuka maradufu hivyo nanyi Wanawake nawasihi pendeni sana hii Style na hata pale Mwanaume wako akiwa anaifanya nawe...
Wadau naomba mnisaidie kudadavua hili jambo ninaliliona.
Kuna mgahawa kuanzia kama miaka miwili nyuma hadi hivi leo huwa ninakwenda kila siku kupata chakula cha mchana au mara nyingine kuchukua...
"Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe) kwa sababu huamini wanaweza kuilinda familia pamoja na kumlinda yeye mwenyewe."
😂
Angalieni msije ponza miili yenu
Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano...
Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe
Najua nimewachanganya kidogo au sio
Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu...
Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka...
Katika kuelimishana, naomba kuuliza wadau hasa jinsi ya kike.
Je, kuna ukweli katika kauli ambayo imekuwepo kwa miaka mingi katika jamii zetu kwamba wanawake huwa hawapendani wao kwa wao...
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.
2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama...
Ndugu zangu na wasalimu sana.
Ndoa nitaasisi kubwa takatifu inayojumuisha muunganiko wa mwanamke bikira (kama siyo bikira awe mjane, kafiwa na mumewe ndoa ikiwa bado hai) na mwanaume na...
Kuna binti nilimpenda mno wakati nipo shuleni. Mimi nikiwa form five yeye yupo form two. Kipindi hicho sikuwahi mwambia hisia zangu kwani nilimuona kama mtoto bado, nikahisi ningemvuruga kiakili...
Mwanzoni yalikuwa yakizungumziwa mambo machache tu hasa hili la kutosomesha mpenzi/mchumba. Kulikuwa hakuna post wala nyuzi nyingi za kuwaandama wanawake. Ila kwa kinachoendelea ni dhahiri nguvu...
Mjadala kuhusu iwapo mapenzi yanaweza kuishi bila mawasiliano ya kimwili ni jambo ambalo limegusa hisia za watu kwa muda mrefu. Wakati mwingine, watu hufikiria kwamba mawasiliano ya kimwili ni...
1. Wanawake huanguka kimapenzi kupitia maneno ya mwanaume, wanabaki katika upendo kwa sababu ya matendo yake.
2. Wanachukia wakati mwanaume asiyejulikana anatumia majina ya karibu kama "Mpenzi"...
Huo ndiyo ukweli! Wala usianze kumwagia sifa kwamba ana ujuzi alioupata unyagoni.
Samaki akiwa mkubwa huwa anaenea vilivyo kwenye kikaangio kiasi kwamba hata kumgeuza inakuwa shida.
Ni wenye...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Ni hivi ikitokea umegongewa demu ama kuchapiwa mke wala isikuume potezea tu na songa mbele.
Faraja inakuja aliyekugongea naye anagongewa na anayemgongea naye vilevile...
Wasalaam wana jamvi
Waswahili wanasema kua uyaone,
Kwenye Maisha yetu ya mahisiano kila mmoja anapitia changamoto yake. Jana katika maongezi na shoga angu wangu wa dasilama au daslam kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.