Jana nikiwa nimetoka mishemishe na uchovu wangu,nikajimwagia maji ya baridi na kujipumzisha.Usingizi mzito ukanichukua,nimekuja kushtuka mtu anagonga mlango.Kufungua mlango nakutana uso kwa uso na...
Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu...
Personally nadhani ndoa ziko overated siku hizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi.
Wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani it's better to be careful kabla hujaingizwa kwenye...
kama ilivyo ainisha hapo juu, kwani wanawake wengi mmekuwa mkilalamika mnakosa wanaume wa kuwaoa, yawezekana sababu ni kuwa haujawa na sifa za kuwa mke lakini unasifa za kuwa refreshment tool...
Mwaka 1995 nilikuwa bado naamini sana katika haya mambo ya uchawi na ushirikina. Wakati huo nilikuwa na mke na watoto wanne. Huyu mtoto mmoja, yaani huyu wa kwanza alikuwa ni mtoto wangu...
Habari wana JF
Mimi nipo KILIMANJARO kikazi kwa mda wa miezi 6 nakaa Moshi town maeneo ya Soweto sasa wadau kilichonileta hapa ni hiki:
Nina msichana wangu hivi anasoma chuo cha UALIMU GREEN...
Habarini wanajamvi!
Najua wengi kichwa cha habari kitawashtua maana mara nyingi au imekuwa mazoea kusikia wanawake tu ndio huwaendea waume zao kwa waganga kwa sababu mbalimbali wanazojua wao...
Heri ya mwaka wandugu.
Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba...
Habarini ndugu zangu.
Hivi karibuni nimepata wakati mgumu sana baada ya kupata rafiki (mwanaume mwenzangu) ambae aliniomba nimsaidie jambo flani na urafiki ukaanzia hapo.
Huyu jamaa alianza...
Utafiti usio rasmi ambao umefanywa na taasisi moja ya utafiti wa mahusiano na usaliti umeonyesha kua wake za watu wengi beki hazikabi.
Utafiti huo ambao umefanyika kwa usiri mkubwa, watahiniwa...
Maharusi wakiwa katika mavazi nadhifu ambayo huuzwa kwa gharama kubwa. Haya ni miongoni mwa mambo yanayoelezwa kuwa tishio kwa vijana wengine kuoa au kuolewa.Picha zote mtandao.
Vijana ambao...
Mimi binafsi nilianza kufanya mapenzi mwaka 2014, japo mwaka 2012 nilipata demu mmoja alinipenda sana na alikuwa bikira nikashindwa kumla kwa sababu nilikuwa sijui namna ya kuondoa bikira. Binafsi...
Jambo hili limeniumiza moyo sana.miaka ya nyuma waliokuwa wakisemwa sana kwa michezo hii ya matumizi kinyume na Maumbile walikuwa ni Zanzibar, Tanga na Mombasa.
Siku hizi na mikoa mingine...
Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi...
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.
Ndugu zangu, naombeni ushauri wenu wa mawazo.
Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia...
Mimi nafanya kazi ngumu ila kipato chake kwa siku ni Kama shilingi 4000 TU.kuna mahitaji yangu mwenyewe yamenishinda Leo hii unaniambia niwe na mwanamke nimhudumie saloon nimpe hela nitapatia...
DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa...
Habar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa...
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.
Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo...
Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.