Habari zenu wana MMU.We husika na kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kama kinavyo jieleza kama ni kweli au si kweli.......
FUNGUKA HILO NENO SASA.....................
Kila nikipata mpenzi tunakaa kidogo tu tunaachana, hata kama namjali kwa pesa, kumjulia hali mara kwa mara kutoka nae ( kumtoa out) yaani kwa kila binti ninaempata hata nimtendee wema kiasi gani...
Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii.
Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na...
KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO.
"Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia.
Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku...
Nimekua pamoja na huyu binti kwa miaka miwili na ziada. Marafiki na baadhi ya ndugu kila upande wanajua mahusiano yetu. Kilichopelekea kuachana nae ni hali yangu duni kiuchumi. Kwa kipindi cha...
Tofauti nasie Me, Mwanamke anaposaliti kuchepuka ,ameamua kufanya hivo Kihisia, na hii inamaana Akili yake yote inakua imeshajikubali na ipo tayari kwa lolote.
Sasa Basi, Unapotokea umegundua...
Kwa wanaume na wanawake,
Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi??
Maana humu comments nyingi .
Mnawasema vibaya kwani wanashida gani??
Tuambieni tujue
Wakuu mwakeyeee, wengine sibhota, mwagumaaa?
Kuna dada mama ntilie nilikuwa nakula chakula kwake na nilikuwa nampelekea wateja sana ambao walihtaji chakula wakiwa ofisini kwangu basi nilihakiksha...
Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena
Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya
Dodoma - Warangi
Manyara - Wambulu (wairaqw)
Singida -...
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu...
Nilikua napitia mtandaoni nikakutana na hii kitu, kweli imenishangaza sana! Cha kushangaza zaidi ni michango ya wanawake wenzie.
Hizi ndoa ni hi kuishi kwa akili sana.
Habari za mchana.
Naomba niende kwenye mada, niliwai kua na bf flani ivi ni bodaboda nilimpenda sana kipindi hicho japo yeye alikua ni mtu Wa kuchukulia poa kitu kinachoitwa mausiano. Kwa Mara...
Wanawake ni aslilimia kubwa unaweza kuingia kimahusiano kwa njia ndogo ya imani zao mfano ukimwambia nitakuoa yani hapo umemvuruga kabisa.
wengine imani zao wanaamini wanaume wenye imani zao ni...
SIpo single ila nipo yaani unakuwa hujielewi kama upo single au haupo.
Sasa ni hivi na mshikaji wangu. Sio mpenzi tunapendaga kwenda outings kula lunch nakunywa . Kazi zetu sio za kujipangiwa ...
Nilibahatka kuoa binti wa kimasai, nilikuwa sina maisha napitia changamoto ya maisha lakini yeye wala hakunikimbia. Kitu alichoniambia nimtafutie shilingi elfu 35,000/= ya kufanya ujasiriamali ya...
Being in love is the best feeling ever🥰
Kuna ki feeling flani kizuri sana ukipendwa unapo penda,najua wengi tumeshawahi pitia hii hali either kwa mahusiano ya zamani au tilionayo kwa sasa.
Kuna...
Iko hivi tumekuja nyumbani na kwao huyu mpenzi wangu kutambulishana, lakini muda wote ananisumbua nimpe na mimi kiukweli naogopa tukianza milio si itakuwa dharau kubwa kwa wakwe!
Mwanaume hatulii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.