Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari wakuu. Hii imenikuta juzi tu hapa. Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja tu. Sasa...
19 Reactions
140 Replies
56K Views
Zamani nilikuwa nasikia wazee wakisema kuwa kabila la wapare lina mila za ajabu sana na moja ya mila zao hizo ni ile ya wazee wa kipare kutembea na binti zao kabla hawajaguswa na watu wengine...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
UKISIKIA ULIVYOSEMWA KIPINDI HAUPO TENA NA AMBAO ULIJUA WANGEKUTETEA HATA USIPANIC( HAMAKI), NDIVYO ILIVYO KWENYE JAMII MASKINI ✍️ Moja ya sifa kubwa ya maskini wa fikra ni kuongelea wengine...
2 Reactions
9 Replies
368 Views
Hivi kwanini wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa. Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya. Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi Au ukiwa...
6 Reactions
24 Replies
623 Views
Kwema Wakuu! Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl. Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa...
32 Reactions
220 Replies
6K Views
MARAFIKI ZETU MTUSAMEHE SANA Siku zote ukimya wa marafiki unaumiza kuliko kelele za maadui. Lakini marafiki zetu mtuelewe kwamba ukimya wetu haumaanishi kujitenga, kuringa wala kuvimbiana...
39 Reactions
100 Replies
2K Views
nduguu zangu aisee unaweza kukata tamaa mke wako asifanye kazi yeyote abaki nyumbani tu, mi nakaa mitaa flani wanapobomoa bomoa uku dsm, kuna jirani yangu anafanya kazi uhamiaji na ni mtu mzito...
17 Reactions
202 Replies
33K Views
Habari wana MMU, Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha...
4 Reactions
203 Replies
21K Views
Habari zenu, sihitaji kashfa wala matusi hapa maana kuna watakatifu humu koo zao hazina singo mama wala walioachana.. Jf wanapita watu wengi mnoo!!! waliojiunga na wasiojiunga naomba kuuliza hivi...
21 Reactions
74 Replies
7K Views
Umekutana na binti mjini Dar, binti huyu wazazi wake ni wanasiasa tangu enzi za chama kushika hatamu. Wana eneo la heka tano na zimezungushiwa uzio. Mapenzi yenu yameiva mpaka mnaona. Siku ya...
6 Reactions
112 Replies
7K Views
jamaa yangu huyu tupa tupa kupata kuna mungu alikuwa anajiita dume la mbegu ,dangote aka bill gates. kipindi cha nyuma alikuwa na ukwasi kutokana na shughuli zake rasmi na zisizo rasmi.wengi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mademu Niliowala mpaka sasa wanatosha aisee kwa sasa ngoja nitafute pesa kwanza kama kuwala nitawala tena Baadae, Kuna baadhi ya Viumbe huwa navitamani sanaa ila kwa sababu ya utofauti wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ayesha akiwa na mume wake Steph Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
Asili ya mwanamke ni pambo za tabia njema,uadilifu na uaminifu toka enzi na enzi ,mwanamke akibeba zege watasema kama dume vile ila mwanaume akipika hawasemi kama mwanamke vile Wanawake baadhi wa...
15 Reactions
165 Replies
12K Views
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume. Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38. Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo...
6 Reactions
75 Replies
8K Views
People understand please i don't want married man in my life ish Understand that i need single man. For now i don't want someone to inbox me. And another thing you have been told inbox me with...
0 Reactions
123 Replies
9K Views
Salam wakuu. Hakika nimepata mgagasiko WA nafsi na roho katika hili. Dada zetu na mama zetu mmekua mkitumia miili yenu kama sehemu ya ahsante pale mnapo tendewa jambo Fulani jema au haya kusaidiwa...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanawake wako tofauti sana na sisi wanaume, Mwanaume anaweza kuchepuka si tu kwamba hampendi mke wake hapana ila anaweza kuchepuka tu kwa sababu ya tamaa mfano, Kasikia kwa rafiki zake wakisifia...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Wale viumbe wanakuwaga hatari sana alafu asilimia 90 ya mama ntilie wote wana chura flani na hipsi teketeke, Kuna mmoja alikuwa na mgahawa karibu na gheto kwangu, sasa ile kwenda kula kila siku...
3 Reactions
58 Replies
13K Views
Back
Top Bottom