Wanajamvi habarini...
Kuna mwaka fulan yalinikuta sitosahau!!!
Ilikuwa jioni nitoka kijiji jirani kwa mshikaji wangu.
Wakati narudi home mida ya jioni kigizagiza ndo kinaanza, kwa mbali nikaona...
Habarn wandugu
Naona kuanzia wiki iliyopita watu wamekua wakiwasakama Sana wanaume wa dar kisa Hawa vijana wetu kutoka KINONDONI
Kwanza kabisa naomba niwatoe hofu wakaz wa dar,. Kipolisi hakuna...
WanaJF, nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu. Nafikiria mbali sana lakini sina imani nae naweza nikawa nalipa hiyo kodi then wanavua chupi wengine
Ni siku tatu sasa tumemaliza mazishi ya watu wawili; Mwanamke na Mwanaume na wote walikufa siku moja kwa tofauti ya masaa tu.
Maneno mengi yalisemwa ila kubwa na lililoteka hisia za wengi ni...
Narudia tena kwa wale wenzangu na Mimi wenye ndoto za kuoa mabinamu zetu tukutane hapa!
Unajua raha ya kuoa binamu Mali haendi mbali na hakuna tatizo lolote la kuzulumiwa mtoto hata kama utasafiri...
Wajua mimi ni mtu ambaye sina rafiki permanent nina mazoea sana ya kuongea na kila mtu, na ninapenda mno stori na utani na masihara ili mradi nifurahi
Kwa kifupi mimi kwa siku kununa ni nadra sana...
Heshima kwenu mmu.Unajua siku hizi watu wengi wanashindwa kula chakula cha wapenzi wao kisa mboga kaizoea so anataka kubadilisha. Hiyo haisaidii coz utajifanya kula nje ya ndoa na utarudi unahara...
Baada ya kumaliza Chuo mwaka jana life ikapiga vibaya mno, kila muda nilikuwa nawaza jinsi gani nitasaidia familia yangu (Ni mtoto wa kiume mkubwa) Ilikuwa inauma sana pale ambapo unaamka asubuhi...
Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu...
Najiuliza.................
Ni kweli mpango wa kando a.k.a nyumba ndogo husaidia kupunguza stress za nyumbani kwako??
Kama si kweli mbona unakwenda kumsimulia mpango wa kando mambo/matatizo yako...
Ndugu zanguni yamenikuta na naomba ushauri wenu,Mimi ninaishi na mume wangu yapata miaka miwili sasa,nina mpenda sana Mume wangu na ninaamini kuwa naye ananipenda pia.Ila kuna tatizo linanisumbua...
Alikuwa ni zaidi ya mama..........
Sikumbuki umri wangu kamili wakati ule, lakini bila shaka nilikuwa na umri wa miaka kama sita hivi. Nakumbuka sisi nyumbani tulikuwa miongoni mwa familia za...
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi...
Wanabodi salama?
Najua ni BLUE MONDAY..lakini sio issue sana mradi jamvi lipo naamini hakuna kinachoharibika... Kumekuwepo na 'myth' kwamba LOVE IS BLIND...ikimaanisha kuwa mara nyingi mapenzi ni...
.... Enzi hizo bwana wakati nasoma nilikutana na watu aina nyingi. Mpaka nikawa nashangaa were the weird type made especially for me?
1. Kuna siku moja bwana nimejikalia mwenyewe all alone pub ya...
Nimeikumbuka hii miezi kadhaa iliyopita kabla ya fastjet kuwepo nilipata shuhudia tukio flan nikiwa kwenye safari moja pale mwanza,basi nikiwa nimemaliza semina ya cku6 kule mwanza nikawa pale...
Ni ushauri tu
kuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu
mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa...
Fumanizi husababisha hisia zenye maumivu, hasira, kutokuaminiana, woga, aibu na kujilaumu. Lakini kufumania au kufumaniwa hakupaswi kuwa sababu ya kuwa mwisho wa ndoa yenu, ingawa kunaweza kuwa...
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila...
Ndugu wana JF, poleni na majukumu ndugu zangu.
Moja kwa moja katika mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Kumekuwa na sintofahamu baina ya hawa dada zetu hasa pale tunapo omba gemu na wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.