Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi katika ndoa kuna mwandoa ambaye hachepuki kabisa yani unakuta mume na mke wote wametulia tuli!
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume. Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu...
38 Reactions
257 Replies
17K Views
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji. Sasa...
74 Reactions
415 Replies
23K Views
Leo nimekuja tofauti, nataka tuongee hili,,mimi binafsi nina tabia za ajabu kidogo ambazo huwafanya wasichana waniogope sana. Sijui kubembeleza, sina jokes na wasichana ambao si plan kutoka nao...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Wazima wote? Natumaini ni wazima. Kama kichwa kinavyojipambanua, wanawake kama siyo mabinti wengi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla wanaona fahari mwanaume kusumbuka kwa ajili yake hata kama ni...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Kumbe kutongoza ni kazi ngumu kiasi hiki Mwenzenu nataka sasa niingie kwenye mahusiano baada ya kukaa sana kwenye mahusiano ya pesa yaani kupiga saana. Hawa malaya nimeona nitongoze Sasa ila...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari JF mapenzi. Ktk pitapita zangu niliwahi kutoka ama kurock na mwanaume wa kimasai. Kwa kweli niliinjoi mahaba na sijawahi ona mapenzi ya aina hiyo ila kaka mwenyewe alikuwa na hasira sana...
9 Reactions
204 Replies
41K Views
Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana [emoji1751] kwa presha ya...
41 Reactions
99 Replies
8K Views
Hivi ilishawahi kukutana na ile situation umekutana na mwanamke barabarani, kila unapojaribu kuzungumza naye, yeye haoneshi attention yoyote ya kuzungumza ama kuvutiwa na wewe! imani yangu watu wa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Nusu yanigeuze chizi, Ilibaki kidogo niwe teja! Nakumbuka kipindi hicho 2019, Hakuna mwanadada niliewahi kumpenda kama Modesta, Mama yangu alilifahamu hili, Wazazi wake hawakuwa na kipingamizi...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wale wafuatiliaji, niliwahi kuwapa story ya mwanadada aliyekuwa haelewani na mmewe kiasi cha kupigwa na manyanyaso kadha wa kadha! Akafikia hatua ya kulipeleka jambo hili kwa mjumbe na ngazi...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra. Kuzaa sio mwisho wa...
24 Reactions
47 Replies
1K Views
Chonde! Chonde! Akina dada. Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother. Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba. Machaguo...
27 Reactions
396 Replies
28K Views
Kama kichwa kinavyojieleza! Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili. Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye...
13 Reactions
240 Replies
16K Views
Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote. Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo...
2 Reactions
19 Replies
521 Views
Shalom, Wanaume wakisuma hawana maajabu ya uchangamfu they are not pepper but women have concluded wasukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa Taarifa fupi mengine yaendelee Wadiz
3 Reactions
7 Replies
314 Views
Habari huu uzi unaweza kuwa muendelezo kama uzi wa Riki boy kula Kimasihara maana kila siku tunakutana na manzi. Katika harakati za kuangalia warembo nikaingia dating site moja. Basi kuna manzi...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Shalom, Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro. Karibu kwa mjadala na uthibitisho Ni hayo tu Wadiz
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosomeka (Sorry nimeshindwa kuandika kwa kiswahili). Huyu binti ana 30+yrs na hajawahi kufanya mapenzi (Sababu ni imani yake, no sex mpaka ndoa) sasa nimemuoa ni mwezi 1 sasa ila...
7 Reactions
168 Replies
21K Views
Kwa wadada wenzangu na wake za watu, je unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra? Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha? Unakumbuka ilikuwa ni wapi? Je, siku ya kwanza...
6 Reactions
157 Replies
65K Views
Back
Top Bottom