Wasaalam,
niende kwenye mada,miezi mitatu nyuma katika kutafuta maisha kijana nikapigiwa simu ngeni,mwanamke akanambia kapewa namba yangu na mtu hii ni kutokana na mishe zangu za vibiashara...
Hapa karibuni niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja wa makamo hivi, alikuwa kwenye miaka 43+ na mimi kwenye 25+.
Before hatujaanza kudate aliniuliza kwanini nimeamua kumpenda mwanamke kama...
Mwaka 2012 nikiwa niko chuo mwaka wa mwisho nilirudi nchini na nilienda field mgodini Bulyanhulu, nikiwa pale Namanga feli napumzika nasubiri muda wa kivuko niondoke kwenda upande wa pili ili...
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na...
Hii ndio wiki ambayo utasikia watu wamelazwa kwasababu ya mapenzi.
Walipokutana chuoni Mara ya kwanza waliambiana sijaoa wala sina mpenzi , hivyo wakakubaliana kuishi mume na mke na pengine kuja...
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa...
Kama mada inavyojieleza wadau. Nina rafiki yangu ambaye anamiliki Mini supermarket. Na pale amemuweka mke wake aisimamie. Mara kwa mara mimi hufika pale kwa ajili ya kufanya manunuzi na...
Wanabodi,
Sherehe za wahitimu 2019 zimegubikwa na kasheshe za hapa na pale. Mabaharia waliosomesha na kutoa huduma vyuoni wamelia baada ya kushuhudia mahusiano mapya kipindi hiki cha sherehe...
Mimi nina rafiki yangu ambaye ana uhusiano na mwanamke fulani hivi na alishamtambulisha kwangu.Na kiukweli huyo mwanamke ana mpenda sana rafiki yangu nakumbukaga wakati my friend huyo mwaka wa...
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya Temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayokaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia...
Habari zenu wazee wa mmu,
Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.
Mimi...
Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters...
Mwanamke bila msimamo
huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote
mwenye pesa ya kukidhi hitaji la
kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha
huondoka na kuacha harufu na uchafu wake.
Usichana ni sawa...
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.Awali ya yote hakuna mzazi yeyote mwenye akili timamu anaependa mwanae aharibikiwe,hivyo atafanya lolote liwezekanalo katika kumsaidia mwanae akue na kuwa mtu...
Habari viongozi, na watu wote.
Naomba kwanza ku-declare my side ni kwamba siwezi kumwacha mke wangu niliezaana nae hata mtoto mmoja tu kisa amechepuka.
Kuna ndugu yetu humu ndani amemfukuza jana...
Tunaposhangilia wanawake waliofanikiwa! Tusiwabeze waliopigwa na maisha kwa kukosa nafasi za uteuzi au ajira!
Tusiache kuwapongeza hawa wanawake waliotemwa na mfumo kwa kugomea rushwa ya ngono...
Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza...
Tuache mchezo Kinondoni sio sehemu ya kujivunia kuwa na mpenzi, au mchumba mana sio Kwa Malaya walivyojazana vile kama njugu ukija Moscow makahaba
Wamejazana, uje studio makahaba ukikimbilia baa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.