Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi karibuni nimemtokea mdada flani bonge kweli kweli Tumepanga kesho nikamgegede Sasa sijui style nzuri inayofaa kwa mabonge ili niweze kumkuna vyema Wale wenye uzoefu wa kugegeda wadada...
2 Reactions
46 Replies
20K Views
Lile dhumuni halisi la upendo, kuaminiana na kuwa na dhati ya mpaka kuzikana ni wachache sana wenye hiyo mutual intention, ni either mmoja awe anamvizia mwenzie au wote kwa pamoja. Akili na uwezo...
22 Reactions
73 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
JADILI.. Hii ni mada inayojadiliwa Star TV. Mawazo yanayotolewa yanatisha..
0 Reactions
240 Replies
16K Views
Wakuu, Kupeana experience ni muhimu, Kwa wale wote tuliokuja kuishi kwa shemeji zetu tupeane uzoefu. Kwa mfano mimi binamu yangu (mtoto wa shangazi) nd'o kaolewa Dar, Nami nimekuja kuwatembelea...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Naja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani: 1. Mmenifanya nimdharau mke wangu. Mke wangu ameishi kwa masikitiko na manyanyaso yote ni sababu yenu...
12 Reactions
187 Replies
16K Views
Hakuna kitu kinanikata mzuka na hisia Kama nkiona mdada aliechora tattoo na Kuvaa kikukuu yanii hata akiwa Vipi naona ni Malayaa tuu na muhunii pia maadili Zerooo...!! Kama wew mdada unajielewa na...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
mdogo wangu wa mwisho kazaliwa 2004 nimemzidi miaka zaidi ya kumi ana futi 6.5 na mimi kaka yake eti futi 5.8 this is not fair, maza itabidi abanwe na aeleze kinagaubaga hii mbegu ya uyu dogo ni...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Siyo kila mtu alikuwa anamiliki gheto wengine tulikuwa tunakaa kwa wazee alafu watata kinyama ule muda tu wa kumleta demu home hakuna mzee au mother daily yuko nyumbani. Pia usikute ata rafiki...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakulungwa..... habari Gani Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana Jamaa angu...
12 Reactions
129 Replies
5K Views
Jamaa na mpenzi wake wa kudumu wanaotarajia kuingia ulimwengu wa ndoa few years to come currently wamepanga room na sebule. Mwanamke alimpanga jamaa kuwa kuna dada yake anapita mkoa kumuona na...
44 Reactions
266 Replies
22K Views
Nyie mnaleaje maana huyu analia kama Nini hata umpe Nini, au umfanyie Nini analia tu basi . Shida Nini??? Tusaidiane ??
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia. Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa...
30 Reactions
309 Replies
13K Views
Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome...
17 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari wakuu Hivi ni mkoa gani hapa Tanzania unaweza oa kwa gharama nafuu Sihitaji mwanamke nahitaji mke Naomba nijuze
3 Reactions
17 Replies
488 Views
Wakuu habari? Jana mida ya saa tatu usiku, niliamua kutoka na mpenzi wangu (mchepuko) na kwenda naye katika kiwanja kimoja angalau kujiburudisha pamoja na kupunguza msongo wa mawazo ya hapa...
8 Reactions
93 Replies
2K Views
Habarini za jioni, Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi? kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri...
2 Reactions
14 Replies
436 Views
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
15 Reactions
198 Replies
5K Views
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana. Mimi huwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia vizuri ndio tabia yangu so...
4 Reactions
142 Replies
13K Views
Kama wataniondoa kwenye kabila poa tu: Ni kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home. Wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye...
5 Reactions
255 Replies
5K Views
Back
Top Bottom