Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Natumai mu wazima wa afya,kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na afya,namshukuru pia kwa kunipatia vlad, wengi mlinibeza na kutoa maneno makali lakini nashukuru pia kwa mlioniunga mkono juu ya...
10 Reactions
460 Replies
26K Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
27 Reactions
193 Replies
7K Views
Nimekuja Leo Arusha Kwa mambo yangu binafsi mara ya mwisho kuja hapa Arusha ilikua 2010 ! Nmezoea maisha ya dar Yani, maisha ambayo kupata mwanamke ni rahisi sana, kama nmewachoka makoloni yangu...
13 Reactions
78 Replies
6K Views
Dada zetu sijuhi lini mwalimu wao atakuwa anaona! Yani akipigiwa simu na Meneja wa benki amtembelee ofisini kesho yake analiwa kilaini. Kuna jamaa yangu jirani hapa anawamega hatari. Watoto...
7 Reactions
58 Replies
8K Views
Ndugu Jamaa na Marafiki. Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku. Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na...
62 Reactions
587 Replies
35K Views
Hope mko poa, Mimi Arusha ndio home, naishi Lemara ila kwa sasa nipo Dar es salaam. Hii sikuku ikabidi niende tuu home Jumamosi, nilikuwa pande za Njiro bar moja inaitwa blacklist tulikuwa na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
You know what babe, Your Voice Your Smile, Your Touch, The way you do your Homework, The way you look at me and take gasp without being noticed aahahahahahaaaa I just love you boo... yeah I...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni hivi juzi tu simu imeita, napokea anajitambulisha mimi shemeji yako mke wa rafiki yako A, mimi namwambia aaah sawa shem,vipi kwema, anasema sio kwema rafiki yako kutwa na wanawake anahonga pesa...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Wasalaamu wakuu niende kwenye mada,katika vitu ambavyo wanaume wengi tumekuwa tukidanganyana ni kuwa mwanaume hawezi kulia kwa ajili ya mwanamke hata mimi nilikuwa miongoni mwao lakini nimekuja...
9 Reactions
127 Replies
14K Views
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza. Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo...
21 Reactions
211 Replies
18K Views
Wengi huumizwa na mapenzi kwani hao wapenzi wao wamewapata kwa ku fake maisha.. mtu anajimwambafai kuwa hela zipo,burudani ndio kisima,shida hazijawahi kusumbua wakati kiuhalisia si sahihi...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Hey wassup Ladies&Gentlemen,Hopefully mko full yaani mambo ni yeng'eng'ee. Bas bila kudevela acha chapcheree nisororoe kwenye...
5 Reactions
59 Replies
11K Views
Leo Nina siku ya nne tangu nifike hapa Dar es salaam nikitokea mkoani kwetu Shinyanga. Siku ya njana baada ya kukamilisha shughuli zangu zilizonileta hapa nikaona niende Mwananyamala kwa wauza...
8 Reactions
140 Replies
42K Views
Ebhana kwa wadau wa JF ambao ni wahenga kidogo waliokuwa kwenye balehe miaka ya 80 na 90, watanielewa ipasavyo! Miaka hiyo bhana kupata demu haikuwa issue bali issue ilikuwa kumla huyo demu...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Huyu mdada toka nimemfahamu mwaka 2016 namfuatilia na kumsihi anipe nafasi nami ni-enjoy uzuri wake; nimekuwa nikimsihi sana anipe lau nafasi moja kuupoza moyo wangu. Ananaambia nisubiri kwanza...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani? hivi nyie...
6 Reactions
55 Replies
10K Views
Wadau shalom, Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote...
16 Reactions
620 Replies
74K Views
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza Kila anayejibebisha anapata bakora...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakuu Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu...
9 Reactions
159 Replies
15K Views
Back
Top Bottom