Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.
Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa...
Nilipokuwa na miaka 19 nilikuwa natamani sana urafiki wa kimapenzi na shangazi yangu (Dada wa Baba). Shangazi yangu ni mwanamke mzuri sana. yaani saana
Alikuwa na miaka 36 wakati huo. ndugu zangu...
Nimesikia na kusoma visa vingi vya wanaume kutanguliza picha au kuonesha uume kama kianzio cha kumvutia mwanamke.
Je, ni kweli kuwa hii ni njia sahihi ambayo inamfanya mwanamke kupata ushawishi...
Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana.
Sasa Toka January nikaamua...
Matumaini yangu wote ni wazima humu (Mungu ni mwema) hii mada itawalenga moja kwa moja Wasichana/Wanawake ila pia Mwanaume ukisoma utajifunza kitu
Asilimia kubwa ya wanawake wakitongozwa huwa...
Habari za leo wanajamvi?
Jana jioni nimekutana na kioja mtaani kuna dada mmoja yuko single amerudi nyumbani saa 6 usiku (anakaa kwa wazazi) wakagoma kumfungulia geti (alikuwa na gari yake) na...
Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba...
Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilimpenda sana. Tulidumu kwenye mahusiano kwa miaka 4. Ujasiri wa kumpenda ulikua mkubwa sababu nilimjua tu baada ya yeye kumaliza kidato cha nne. Mtoto alikua na...
Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana
Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui...
Wakuu, juzi kati nimekutana na hali ya utofauti ambayo sijawahi ku,experience katika swala zima la kutongoza.
Iko hivi...Mtaani kwangu kuna manzi ambaye tulijuana nae miaka mitatu nyuma wakati huo...
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na...
Naamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili,
Yamenikuta mimi to be open.
Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani...
1. Wako radhi wa-share mwanaume mwenye mafanikio kuliko kushikamana na a 'loser' ambae yuko faithful kwake
2. Many do not marry for love.
3. Yule mwanamke unaemuona ni 'innocent and a nice girl'...
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.
Ukiwa mwanaume umesoma...
Hello guys
Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia...
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana...
Kila mwanamke ili atulie kabisa,anaitaji wanaume wa aina tatu.
1.Anaeujaza moyo wake,yaani hata akinywa maji anamuona mwanaume anaempenda yaani wanaita true love wake
2 .Mwanaume muhongaji...
Hapa mtaani kuna dada mmoja wa kidosi anasumbua sana huyu dada ni mzuri ameolewa na jamaa mmoja mtu mzima mambo safi sana.
Kitaa masela wote wanamkubali sana si kitoto na jambo zuri hana majidai...
Shalom,
Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala.
Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.