Ndoa si lele mama, ili iweze kustawi na kudumu lazima kila mwanandoa anapaswa ajifunge kwa dhati kuitumikia ndoa hiyo. Kila anaeingia katika mkataba wa ndoa anaingia na matatizo yake binafsi. Na...
Hi wana JF natumaini mko wazima wa afya kabsa.
Mimi ni member wa siku nyingi sana huku JF na nimekuwa wa kujifunza mambo mengi tu kupitia humu ila leo nimeamua kuja na hili swala la kutokuaminiana...
Kiukweli nilimpenda, ila yake matendo yalinirudisha nyuma. Ila ndo hivo nyani haoni kundule, hata Kasie yake matendo yalimvuruga.....
Basi wacha dhamira kuu iendeshe dunia.
Ooh yeah, feel...
Leo wakati nimefungulia redio kuna mchungaji alikuwa anafundisha maswala ya mke mwema na mume mwema anaitwa Mchungaji Peter.
Moja kati ya vitu alivyovizungumza upande wa wadada ya kwamba...
habari zenu wadau mm na baba watoto tulikua tunaishi ktk nyumba ya kupanga kwa muda wa miaka minne sasa ila anataka tukaishi kwao kwa kua kidogo kodi imepanda ili tusave tuweze kuanza kujenga...
Nauliza kama hili linawezekana nijilipue naona usingle utanifanya maisha niyaone magumu zaidi with ziro sms, call zaidi ya huduma kwa wateja
Ni hivi wakati nasoma miaka hiyo nipo kidato cha pili...
SWALI....
Zamani wadada walikuwa wakikojoa, mkojo unachimba kishimo, lakini siku hizi wakikojoa mkojo unasambaa, sijui tatizo ni nini?
JIBU
Tuanze kwa kusema Fizikia ama Hisabati hazidanganyi...
Kipindi hicho ilikuwa napenda sana kushinda Facebook ikatokea nimekutana kufahamiana na msichana mmoja hv katika comments za page maarufu.
Mara nyingi alikuwa akipenda kuweka likes na kureply pale...
Baada Ya kuachana na mpenzi wangu, raia wa nchi moja ya nje ya Africa. Nikatulia mwezi mmoja then nkaamua kutafuta kipozeo.
Basi nkampata dada kutoka mwanza me naishi Dar, demu ni mzuri,chura ipo...
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).
Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao...
Kumekucha
Kuna msichana mmoja hivi alikuwa rafik yangu kitaaaaambo. Ila nilikuja kumtupiaga swaga Lakini akasema HAPANA best Mimi nimeolewa. Nkamwambia WOKEEEEY hakuna neno.
Nikaona nifanye...
Wakuu mimi toka nianze kuona nyuzi za Zero IQ nimeona ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa fikra...
Ila swali langu ni kwamba mbali na ngono yeye hupenda kitu gani kingine? Mbali na kazi za kumuingizia...
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo...
Binadamu siku zote tuna tabia ya kujifariji baada ya kukosa. Wachache sana hukabiliana na Ukweli.
Watu wameumbwa tofaut tofaut kuchagua mwanamke au mwanaume (kwa wadada) mzuri si dhambi. Siyo...
Jana katika leo tena nimesikia kisa cha kusikitisha kiko hivi,
Kuna jamaa marafiki sana toka chuo wanasoma wote marafiki kiasi kwamba hadi wamekuwa kama ndugu na familia zao zimekuwa kitu kimoja...
Dah...haya mambo ya kuhamishiwa mkoani Dom huku familia zetu tumeziacha Dar , yana changamoto sana...yaani hii kauli ya 'ofcourse I am married but some how available' nimeshakutana nayo zaidi ya...
Kuna huyu Dada Fatma Chikawa( kama nimekosea jina basi tusamehane) reporter wa Azam Sports kule mapinduzi cup ,yani huyu Dada ananiacha hoji mimi mtoto wa wawanamke wanzake ,popote ulipo naomba...
Habari wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume nina mchumba ambaye tulikubaliana tuanze kuishi kama mme na mke mwezi wa 12 mwaka jana.Lakini kulitokea tatizo kidogo amabapo dada ake alikuwa anaumwa...
Salamu kwenu, nilianza kutembea na dada wa kazi nilipokuwa darasa la sita, 2002 niliona raha sana tangu hapo nikawa naenda chumbani kwake kila siku usiku, alikuwa amenizidi sana umri ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.