Ilikuwa ni mwaka 2004 wakati nikiwa form two.Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumanne,siku ambayo nilitakiwa kufanya 'test ya basic mathematics'! Hii ndiyo siku ambayo ilianzisha ukurasa mwingine...
UHeee yoooooh,
Natumai mko poa Glory to God I had a blast this weekend partying like a duck. I just love myself.
Ijumaa hii sikuwa na gari nilichukua bajaji kuelekea mwenge kulikuwa na foleni...
Katika kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya Jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :
1. Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili...
Hi MMU,
Straight to the point, kuna binti nilimpenda sana na bado nampenda sana na nahisi nitaendelea kumpenda( ukweli sijui kanipa nini) kwani kila nikianglia hata contact zake moyo wangu...
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake.
Roho inauma sana sina raha wala amani, wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila...
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!
Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?
Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti...
Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili...
Good evening,
Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men...
Habari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai...
Habari zenu wadau? mimi mzima
Nimebahatika kupata msichana mkali ambaye hata mimi kuna wakati naona alinionea huruma tu kuwa na mimi.
Huyu msichana ana tabia moja ya ajabu ambayo hata mimi napata...
Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe.
Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda...
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa...
Kisa kifuatacho nimepewa na rafiki yangu.....
Jamani niwape kisa changu leo. nimekutana na kichaa mtaani amevua suruali kakaa chini anachezea dudu yaani hiyo kitu imesimama ni ndefu nene balaa...
Ni yule Bi harusi aliyetoroka akiwa saloon sasa amepatikana mkoani Arusha, na hali yake haikuwa nzuri alikuwa anaweweseka, habari zinadi kwamba anapatiwa matibabu Selian hospital, Doroth Msuya (...
Wasalaam
wakuu
kama tulivyo shuhudia sekeseke la Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli Kutembelea Wizara na Ofisi Mbalimbali Za Serikali kukagua...
Wapendwa habari?
Jamani wadada acheni tabia ya kuharibu ndoa za watu kwenye ushirikina acheni tamaa za kijinga mnatesa familia za watu mkishaona mwanaume ana uwezo akikutongoza tu tayari mke...
Hii imetokea huko China, bwana mmoja baada ya kukutana na msichana mrembo aliamini akioa atapata mtoto mzuri, kumbe hakujua si kila king'aacho ni dhahabu. Mshangao ulikuja pale mke alipojifungua...
Katika siku za hivi karibuni kuna uongezeko wa watoto wakike na sababu kubwa ni sisi wanaume kwa kutokuwa makini sana!
Moja ya tatizo ni kutokuwa waaminifu katika ndoa kitendendo kinacho...
Nina demu mmoja ni kama tumerogezeana. Nlianza kudate naye miaka mingi sana. Ana sura na umbo zuri.chura hips na kiuno kidogo.tatizo lake ni kuwa kichwani si mzuri sana ingawa ana diploma toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.