HUU ni usaliti 100%! Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Mwanahamisi au mama Daudi, mkazi wa Pugu-Kajiungeni, Dar, amejikuta akipata aibu ya karne baada ya kudaiwa kuingiza mwanaume...
Imetokea kwa baba yangu Mdogo, kwa sasa mtoto wake wa nje ya ndoa yuko mwaka wa pili
Hapo UDSM lakini mkewe hajui..............
Si jambo zuri, hakika si jambo zuri, Lakini imeshatokea unafanyaje...
Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "nilijua tu...
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.
Sasa nikakubaliwa...
Mimi ni msichana wa umri 21 nafanya kazi oman nimetokea kumpenda kijana mmoja ni rafiki yangu but nashindwa ni vipi nimuambie how i feel for him niliwahi kumuuliza kuhusu love akasema anapenda...
Hakuna mkubwa humu wote Mambo.
Jamani hii kweli imenitokea nikiwa na miaka kama6 hivi wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga.
siku hiyo...
Jaman natumai wazima kuna mkaka kila nikiingia jf lazima nitamani japo kumuona kwenye avatar yake amevaa shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega.sijui kwanini jamani
Miaka ya nyuma ilikuwa mtu akipata mtoto wa kiume anafurahi mpaka basi, akipata wa kike anaanza kufikiria itakuwaje akipata mimba kabla ya kuolewa. Mtoto wa kike alikuwa analeta wasiwasi kwa...
wakuu niliwahi kuja na maada ya kuhusu wanawake weusi jinsi walivyo wazuri. Sasa kuna tatizo nilosahau kuwashilikisha.tatizo lenyewe ni muda wowote ni kikutana na mwanamke mweusi nachanganyikiwa...
Pamoja na kwamba umbea wameumbiwa wanawake kwakuwa inasemwa hawana vifua vya kuhifadhi mambo na makoromea na kuzuia vitu visitoke nje ya mdomo lakini hiyo dhana inatoweka kwa kasi ya ajabu...
Ndugu zangu,
Kuna tabia ya siku hizi ya wanawake kupenda kuvaa suruali. Kiukweli sio vazi baya ila kuna baadhi yao linawadhalilisha kwenye jamii. Mtu katoka kukutana na mwenza wake kimwili then...
!.. FUMANIZI mara zote HUIMARISHA ndoa..!! by Mtambuzi.
Jamani haya si maneno yangu ila ni nikuu kutoka kwa mwana jamvi mahiri, aliyebobea kwenye jukwaa lililotukuka, MMU.
Yeye ni mtaalamu...
Jamaa yangu Mwinsheikh Mwinyihaji Omary amepata msichana wa Kichina anayemiliki duka la kuuza maua kariakoo.
Mchina wa Mwinsheikh hajui kabisa Kiingerza ila Kiswahili anajitahidi kidogo.
Kila siku...
Baada ya kununiwa kwa week2 mfulilizo bila kujibiwa txt wala kupokea my calls na kuniblock juu ofcourse nilikuwa crazy nilikuwa najua nmeachwa tayar. Huyu bint nampenda sana jaman ndomana niliomba...
Mates;
Binaadamu tumeumbwa kwa matabaka tofauti tofauti sio wa rangi wala jinsia, katika upande wa Personalites binaadamu yupo katika makundi mabalimbali. Kuna Makundi makuu mawili ya...
Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa...
Wakuu hii imenitokea mimi. Kuna manzi niliona ni wife material ikabidi nimtokee. Hakunizungusha sana kunikubali ila changamoto ikaja kwenye kumtafuna. Kwa muda mrefu binti alikuwa anakataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.